Denver Nuggets

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Karl aliteuliwa kuwa Kocha wa Mwaka wa NBA mnamo 2013, msimu wake wa mwisho huko Denver

Denver Nuggets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Denver, Colorado. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Jamaal Murray.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Denver Nuggets kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.