Dedryck Boyata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dedryck Boyata akiwa manchester city

Dedryck Boyata (amezaliwa 28 Novemba 1990) ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anachezea kwenye klabu ya Scottish Celtic na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Alianza na Manchester City mwaka 2010, na alikuwa Mchezaji wa Mwaka kwa 2009-10. Kwa msimu wa 2011-12 alikopwa kwa Bolton Wanderers, na kwa nusu ya kwanza ya 2012-13 alikuwa katika FC Twente. Mwaka 2015 alihamia Celtic kwa karibu £ 1.5 milioni.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dedryck Boyata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.