Chuck Norris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuck Norris

Chuck Norris
Amezaliwa Machi 10, 1940
Kazi yake msanii wa michezo ya mapigano wa Marekani na mwigizaji wa filamu.

Carlos Ray "Chuck" Norris (alizaliwa Machi 10, 1940) ni msanii wa michezo ya mapigano wa Marekani na mwigizaji wa filamu.

Alitumikia katika Jeshi la anga la Marekani. Alikuwa maarufu kama msanii wa kijeshi na kuanzisha shule yake mwenyewe, Chun Kuk Do.

Norris alikuwepo katika filamu kadhaa za vitendo, kama vile Way of the dragon na "Delta Force".

Alicheza kama Cordell Walker katika mfululizo wa televisheni wa Texas Ranger kutoka 1993 hadi 2001.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuck Norris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.