Chuchu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuchu ya mwanamke.

Chuchu ni kichirizi kinachounganisha kwa viwele. Mamalia wa kike (wakiwemo wanawake) hutumia chuchu kwa ajili ya kunyonyesha watoto wadogo.

Ziwa la mamalia wa kike na wa kiume limetengenezwa kwa muundo mmoja. Uzalishaji wa maziwa kwa ajili ya kunyonyesha unadhibitiwa na homoni. Hii ina manaa kwamba wanaume hawawezi kutumia matiti kuzalisha maziwa (isipokuwa ikiwa wana matatizo na homoni zao).

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuchu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.