Christian Eriksen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christian Eriksen
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaDenmark Hariri
Nchi anayoitumikiaDenmark Hariri
Jina katika lugha mamaChristian Eriksen Hariri
Jina la kuzaliwaChristian Dannemann Eriksen Hariri
Jina halisiChristian Hariri
Jina la familiaEriksen Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa14 Februari 1992 Hariri
Mahali alipozaliwaMiddelfart Hariri
NduguLouise Eriksen Hariri
Lugha ya asiliKidenmark Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKidenmark Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuattacking midfielder Hariri
Muda wa kazi2010 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoManchester United F.C. Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji14 Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2010, UEFA Euro 2012, Kombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2020 Hariri
LigiEredivisie, Ligi Kuu Uingereza, Seria A Hariri
Christian Eriksen

Christian Eriksen (alizaliwa tarehe 14 Februari mwaka 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Denmark ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Tottenham Hotspur na timu ya Taifa ya Denmark.

Alicheza timu yake ya Taifa ya Denmark mwaka 2010, na alikuwa mchezaji mdogo kabisa wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 nchini Afrika Kusini.

Mwaka 2011 Eriksen aliitwa Mchezaji wa Soka wa Denmark wa Mwaka, Talent ya Uholanzi ya Mwaka, Ajax Talent ya mwaka (Tuzo la Marco van Basten), na alifanya timu ya UEFA Euro chini ya miaka 21 .

Pia alishinda Eredivisie na Ajax mwaka 2010-11, 2011-12 na mwaka 2012-13 kabla ya kuondoka kwa Tottenham mwezi Agosti 2013 kwa ada ya taarifa ya karibu £ 11.5 milioni.

Alishinda tuzo ya Tottenham Hotspur ya mwaka kwa msimu wa 2013-14 na,pia ni miongoni mwa wachezaji waliochaguliwa katika kuwakilisha nchi katika Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Ajax

Tottenham Hotspur

Binafsi

Rekodi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Trophies". AFC Ajax. 20 January 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 January 2015.  Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  2. "Netherlands – List of Super Cup Finals". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 20 January 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Tottenham Hotspur Star Christian Eriksen Wins Danish Player of the Year Award". Inside Futbol. 10 January 2015. Iliwekwa mnamo 20 January 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Christian takes top Danish honour for second-successive year". Tottenham Hotspur F.C. 11 January 2015. Iliwekwa mnamo 20 January 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Eriksen strike wins Carling Goal of the Month", Premier League, 9 May 2018. Retrieved on 9 May 2018. (en) 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Eriksen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.