Chihuahua (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
El Templo de San Francisco, Chihuahua
Bendera ya Chihuahua
Mahali pa Chihuahua katika Mexiko

Chihuahua ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini ya nchi. Mji mkuu ni Chihuahua na mji mkubwa ni Ciudad Juárez.

Imepakana na Marekani (New Mexico na Texas), Coahuila, Durango, Sonora na Sinaloa.

Jimbo lina wakazi wapatao 3,241,444 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 244,938.

Gavana wa jimbo ni José Reyes Baeza Terrazas.

Lugha rasmi ni kihispania.

Miji Mkubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Ciudad Juárez (1,400,891)
  2. Chihuahua (748,551)
  3. Delicias (34,136)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chihuahua (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.