Arise O Compatriots, Nigeria's Call Obey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toleo la ala la U.S. Navy Band (mstari mmoja)

"Arise, O Compatriots" ni wimbo wa taifa wa Nigeria. Uliteuliwa mwaka 1978 badala ya "Nigeria, Tunakupongeza".[1]

Sauti yake ni mchanganyiko wa maneno na beti kutoka malango matano ya mashindano ndani ya nchi. Maneno yaliwekwa na bendi ya polisi wa Nigeria chini ya usimamizi wa Benedit P Ofiase (1934-20 13) maneno ya wimbo wa Taifa yaliwekwa na jumla ya watu watano P.O Aderibigbe, John A. Ilechukwu, Dr. Sota Omoigui, Eme tim Akpan and B.A. Ogunnaike

Maneno yake[hariri | hariri chanzo]

Arise, O compatriots, Nigeria's call obey

To serve our fatherland

With love and strength and faith

The labour of our heroes past

Shall never be in vain

To serve with heart and might

One nation bound in freedom, peace and unity.


Oh God of creation, direct our noble cause

Guide our leader’s right

Help our youth the truth to know

In love and honesty to grow

And living just and true

Great lofty heights attain

To build a nation where peace and justice shall reign.

Ahadi kwa taifa[hariri | hariri chanzo]

Mara baada ya kuimba wimbo wa taifa, Wanigeria wanatamka ahadi iliyoandikwa na Felicia Adebola Adedoyin mwaka 1976. Ni kama ifuatavyo:

I pledge to Nigeria my country.
To be faithful, loyal and honest.
To serve Nigeria with all my strength
To defend her unity and uphold her honour and glory
So help me God

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nigeria’s National Anthem Composer, Pa Ben Odiase, Dies", Gazelle News, 2013-06-12. Retrieved on 2013-07-08. Archived from the original on 2017-09-27. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arise O Compatriots, Nigeria's Call Obey kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.