Ares

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ares
Sanamu ya Ares
Mungu wa Vita na Ujanadume
MakaoMlima Olimpos, Thraki, Masedonia & Sparta
AlamaMkonjo, Helmeti, Mbwa, Gari la farasi, Jivi
WazaziZeu na Hera
NduguHeba, Hefaisto, Enyo, Herakle, na Eileithia
WatotoEro, Antero, Fobo, Deimo, Flejia, Harmonia, na Adrestia
Ulinganifu wa KirumiMars

Ares (Kigiriki: Άρης /ˈaris/; Kigiriki cha Kale: Ἄρης /árɛːs/) ni mungu wa vita na ujanadume katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Mars katika dini ya Roma ya Kale.

Sawa na Waroma Wagiriki waliona sayari ya nne (yaani Mirihi) kama ishara yake angani na kuiita "Ares".

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.