Apolinari wa Ravenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nakshi inayomchora Apolinari katika Basilika lake Sant'Apollinare in Classe, Ravenna.

Apolinari wa Ravenna, mzaliwa wa Antiokia (Syria ya kale, leo Antakya, nchini Uturuki) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia hadi alipouawa huko kwa ajili ya imani yake.

Alitangaza kwa mataifa utajiri usiopimika wa Yesu Kristo na kama mchungaji mwema alitangulia kundi lake katika kumfuata [1].

Kwa hiyo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.