Anton Bruckner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anton Bruckner

Anton Bruckner (4 Septemba 1824 - 11 Oktoba 1896) alikuwa mtunzi wa Opera maarufu kutoka nchini Austria. Ni hasa maarufu kwa kuweza kutunga symphony tisa kwa ajili ya bendi yake. Mbali na kuwa mtunzi wa Opera, Anton pia ni mpigaji kinanda na ni mwalimu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anton Bruckner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber