Ante Rebic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ante Rebic
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaKroatia Hariri
Nchi anayoitumikiaKroatia Hariri
Jina katika lugha mamaAnte Rebić Hariri
Jina halisiAnte Hariri
Jina la familiaRebić Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa21 Septemba 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaSplit Hariri
Lugha ya asiliKikroatia Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKikroatia Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuforward Hariri
Muda wa kazi2011 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoBeşiktaş J.K. Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji12 Hariri
Ameshiriki2014 FIFA World Cup, Kombe la Dunia la FIFA 2018, 2018–19 UEFA Nations League A Hariri
LigiBundesliga, 2. Bundesliga Hariri
Akipiga shuti katika mechi ya Kombe la Dunia la FIFA 2018 dhidi ya Argentina.

Ante Rebić (alizaliwa tarehe 21 Septemba mwaka 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kroatia ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Ujerumani Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Kroatia.

Alianza kazi yake ya juu katika RNK Split,na mwaka 2013 alisajiliwa kwenye Serie A klabu ya Fiorentina kwa ada isiyojulikana. Alipoteza muda wake zaidi kwa mkopo kwa klabu ya RB Leipzig Hellas Verona na Eintracht Frankfurt kabla ya kujiunga na mwisho kwa mwaka 2018 baada ya kufunga mabao yao katika ushindi wao wa DFB-Pokal.

Rebić alifanya mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa ajili ya Kroeshia mwaka 2013,Aliwakilisha kwenye Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2014 na 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ante Rebic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.