Anne Sullivan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anne Sullivan mnamo 1887

Anne Sullivan (14 Aprili 186620 Oktoba 1936) alikuwa mwalimu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa kama mwalimu wa mwanaharakati wa haki za binadamu Bi. Helen Keller.

Anne Sullivan alizaliwa mjini Feeding Hills, Massachusetts. Wazazi wake, Thomas Sullivan na Alice Clohessy, walikuwa wakulima maskini kutoka nchini Eire, ambao walikimbia nchini mnamo mwaka wa 1847 kwasababu ya ukame uliotokea nchini humo kwa kipindi hicho.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Sullivan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.