Ancona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bandari ya Ancona.

Ancona (kutoka Kigiriki: Ἀγκών, Ankṓn, yaani "bandari") ni makao makuu wa mkoa wa Marche, Italia ya Kati.

Mji ulianzishwa na Wagiriki wa Kale kutoka Siracusa mwaka 387 KK.

Kwa sasa una wakazi 101,331 na hivyo ni wa 43 nchini Italia.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ancona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.