Amina Salum Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amina Salum Ali


Balozi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani
Aliingia ofisini 
26 Julai 2007
Muda wa Utawala
1990 – 2000
Rais Salmin Amour

tarehe ya kuzaliwa 24 Oktoba 1956 (1956-10-24) (umri 67)
Sultanate of Zanzibar
mhitimu wa University of Delhi (BA)
University of Pune (MBA)
tovuti aminasali.com

Amina Salum Ali (alizaliwa tarehe 24 Oktoba mnamo 1956)[1] ni mwanamke mtanzania aliyewahi kuwa balozi wa Umoja wa Afrika huko Marekani tangu mwaka 2007.[2]

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Amina Salum Ali alipata elimu yake ya sekondari katika shule ya sekondari Lumumba. Katika elimu yake ya juu alisomea masuala ya uchumi katika chuo kikuu cha Delhi (University of Delhi).Pia alipata shahada yake ya uzamivu katika masuala ya biashara- masoko kutoka chuo kukuu cha Pune (University of Pune).

Maisha yake ya siasa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Juni 2015, alitangaza kuwania ngazi ya Uraisi ndani ya chama chake cha CCM katika Uchaguzi mkuu wa 2015.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Elizabeth Sleeman (2001). The International Who's Who of Women 2002. Psychology Press. pp. 12–. ISBN 978-1-85743-122-3. 
  2. African Union Ambassador to the United States of America Presents Letters of Credence to President George W. Bush. US Mission to the African Union (26 July 2007). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2018-06-20.
  3. "Sitta, Amina, Mwandosya join Ikulu race", 4 June 2015. Retrieved on 2018-06-20. Archived from the original on 2015-06-07. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amina Salum Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.