Agostina Pietrantoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Mt. Agostina

Agostina Pietrantoni (Pozzaglia Sabina, Italia, 27 Machi 1864 - Roma, Italia, 13 Novemba 1894) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki katika shirika la Masista wa Upendo wa Kimungu[1].

Alihudumia wagonjwa hadi alipouawa na mmojawao[2].

Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira. Kwanza alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mwenye heri tarehe 12 Novemba 1972[3] halafu alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu tarehe 18 Aprili 1999[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Saint Agostina Petrantoni. Saints SQPN (10 November 2015).
  2. Agostina Livia Pietrantoni (1864-1894). Vatican News Services.
  3. Saint Agostina Pietrantoni: life. Sisters of Charity of Saint Jeanne-Antide Thouret.
  4. Škrobonja, Ante; Pavlović, Eduard; Zubović, Šime. "Tragic fate of the sister of charity Agostina Pietrantoni - Inspiration for announce of one more possible patronesse of nurses". Acta Medico-Historica Adriatica 1: 189–201. 
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.