Adhabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa mtu akiadhibiwa

Adhabu ni malipizi ambayo mtu hupewa kutokana na kosa alilofanya kwa makusudi au kwa bahati mbaya.

Kadhalika kuna adhabu za aina nyingi, kama vile adhabu kubwa na adhabu ndogo. Katika nchi kadhaa kuna hata adhabu ya kifo.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adhabu kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.