Kilezgi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kilezgi''' ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Walezgi. Mwaka wa 2010 idadi ya wase...'
 
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
Mstari 3: Mstari 3:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/lez lugha ya Kilezgi kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/lez lugha ya Kilezgi kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/lez.html ramani ya Kilezgi]
*[http://www.language-archives.org/language/lez makala za OLAC kuhusu Kilezgi]
*[http://www.language-archives.org/language/lez makala za OLAC kuhusu Kilezgi]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/lezg1247 lugha ya Kilezgi katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/lezg1247 lugha ya Kilezgi katika Glottolog]

Pitio la 05:57, 18 Mei 2017

Kilezgi ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Walezgi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilezgi nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 402,000. Pia kuna wasemaji 178,000 nchini Azerbaijan (1999) na wengine nchini Georgia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilezgi iko katika kundi la Kilezgiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilezgi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.