Tofauti kati ya marekesbisho "Lahaja"

Jump to navigation Jump to search
17 bytes removed ,  miaka 5 iliyopita
d
kuondoa kiungo cha ramani using AWB
No edit summary
d (kuondoa kiungo cha ramani using AWB)
'''Lahaja''' ni vilugha vidogovidogo vya [[lugha]] [[moja]] ambavyo hubainishwa na [[jamii]] au [[jiografia]].
 
Lahaja za lugha moja zinatofautiana katika [[matamshi]], miundo ya [[sarufi]] na [[msamiati]].
 
Kama lugha hutofautiana katika matamshi tu, tofauti hizo huitwa [[lafudhi]], si lahaja. [[Uchambuzi]] na uchanganuzi wa lahaja ni [[tawi]] la [[isimujamii]].
# vipengele vya maoni ya wasemaji wa lugha husika
# vipengele vya kijamii ([[lahaja jamii]] na [[lahaja tabaka]])
# vipengele vya eneo
 
Mfano wa lugha yenye lahaja mbalimbali ni [[Kiingereza]] na lahaja zake zinavyozungumzwa tofauti [[Uingereza]], [[Marekani]], [[Uhindi]], [[Australia]] na maeneo mengine.
 
==Lahaja za Kiswahili==
Lahaja za [[Kiswahili]] hutofautishwa kulingana na maeneo yake kama [[Kiunguja]] (kisiwani [[Zanzibar]]) ambacho kimekuwa msingi wa [[Kiswahili Sanifu]], [[Kimvita]] (eneo la "[[Mvita]]" au [[Mombasa]] [[Mji|mjinimji]]ni, [[Kenya]]), ambacho zamani kilikuwa lahaja kubwa ya pili pamoja na Kiunguja, [[Kiamu]] ([[Kisiwa|kisiwanikisiwa]]ni [[Lamu]], [[Kenya]]) na kadhalika. Nyingine ni pamoja na:
 
::* [[Kimrima]]: eneo la [[Pangani]], [[Vanga]], [[Dar es Salaam]], [[Rufiji]] na [[Mafia]] kisiwani ([[Tanzania]])
::* [[Kimgao]]: eneo la [[Kilwa]] ([[Tanzania]])
::* [[Kingwana]]: Kiswahili cha [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
::* [[Shikomor]]: Kiswahili cha [[Komoro]]
62,394

edits

Urambazaji