Kikachchi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kikachchi''' ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi, Pakistan, Tanzania na Malawi inayozungumzwa na Wakachc...'
 
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
Mstari 3: Mstari 3:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/kfr lugha ya Kikachchi kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/kfr lugha ya Kikachchi kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/kfr.html ramani ya Kikachchi]
*[http://www.language-archives.org/language/kfr makala za OLAC kuhusu Kikachchi]
*[http://www.language-archives.org/language/kfr makala za OLAC kuhusu Kikachchi]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/kach1277 lugha ya Kikachchi katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/kach1277 lugha ya Kikachchi katika Glottolog]

Pitio la 20:11, 14 Mei 2017

Kikachchi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi, Pakistan, Tanzania na Malawi inayozungumzwa na Wakachchi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikachchi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 823,000. Pia kuna wasemaji 50,000 nchini Pakistan. Idadi ya wasemaji nchini Tanzania na Malawi haijulikani lakini ni Waasia wengi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikachchi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikachchi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.