Kibouyei : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Kigiay hadi Kibouyei: jina nchini Uchina ambapo kuna wasemaji wengi zaidi kabisa
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
Mstari 3: Mstari 3:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/pcc lugha ya Kibouyei kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/pcc lugha ya Kibouyei kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/pcc.html ramani ya Kibouyei]
*[http://www.language-archives.org/language/pcc makala za OLAC kuhusu Kibouyei]
*[http://www.language-archives.org/language/pcc makala za OLAC kuhusu Kibouyei]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/bouy1240 lugha ya Kibouyei katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/bouy1240 lugha ya Kibouyei katika Glottolog]

Pitio la 07:43, 5 Mei 2017

Kibouyei (nchini Vietnam pia Kigiay) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wabouyei. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibouyei nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 2.6. Pia kuna wasemaji 49,100 nchini Vietnam (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibouyei iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibouyei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.