Michelangelo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Michelangelos David.jpg|thumb|right|Sanamu ya [[Daudi]]]]
[[Picha:Michelangelos David.jpg|thumb|right|Sanamu ya [[Daudi]]]]
[[Picha:Michelangelo - Fresco of the Last Judgement.jpg|thumb|Picha ya [[Hukumu ya Mwisho]] kwenye ukuta wa Kikanisa cha Sistina (Vatikano)]]
[[Picha:Michelangelo - Fresco of the Last Judgement.jpg|thumb|Picha ya [[Hukumu ya Mwisho]] kwenye ukuta wa Kikanisa cha Sistina (Vatikano)]]
'''Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni''' ([[6 Machi]] [[1475]] - [[18 Machi]] [[1564]]) alikuwa [[msanii]] nchini [[Italia]] aliye maarufu kama [[mchongaji]], [[mchoraji]], [[msanifu majengo]] na [[mshairi]]. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa [[zama ya mwamko]].
'''Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni''' ([[6 Machi]] [[1475]] - [[18 Machi]] [[1564]]) alikuwa [[msanii]] nchini [[Italia]] aliye maarufu kama [[mchongaji]], [[mchoraji]], [[msanifuujenzi]] na [[mshairi]]. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa [[zama ya mwamko]].


Kati ya kazi zake maarufu ni sanamu ya [[Daudi (Biblia)|kijana Daudi]] na picha za ukutani wa [[Kikanisa cha Sistina]] huko [[Vatikano]] mjini [[Roma]] alichopamba kwa [[hadithi]] na watu wa [[Biblia]].
Kati ya kazi zake maarufu zaidi ni [[sanamu]] ya [[Daudi (Biblia)|kijana Daudi]] na [[mchoro wa ukutani|michoro ya ukutani]] wa [[Kikanisa cha Sisto IV]] huko [[Vatikano]] mjini [[Roma]] alichopamba kwa [[hadithi]] na [[watu]] wa [[Biblia]].


Kati ya kazi zake maarufu kama msanifu majengo ni hasa [[kuba]] ya [[Basilika la Mt. Petro]] kwenye [[Vatikano]] mjini Roma.
Kati ya kazi zake maarufu kama msanifuujenzi ni hasa [[kuba]] ya [[Basilika la Mt. Petro]] kwenye [[Vatikano]] mjini Roma.


== Picha ==
== Picha ==

Pitio la 14:17, 2 Mei 2017

Sanamu ya Daudi
Picha ya Hukumu ya Mwisho kwenye ukuta wa Kikanisa cha Sistina (Vatikano)

Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni (6 Machi 1475 - 18 Machi 1564) alikuwa msanii nchini Italia aliye maarufu kama mchongaji, mchoraji, msanifuujenzi na mshairi. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko.

Kati ya kazi zake maarufu zaidi ni sanamu ya kijana Daudi na michoro ya ukutani wa Kikanisa cha Sisto IV huko Vatikano mjini Roma alichopamba kwa hadithi na watu wa Biblia.

Kati ya kazi zake maarufu kama msanifuujenzi ni hasa kuba ya Basilika la Mt. Petro kwenye Vatikano mjini Roma.

Picha

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michelangelo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.