Demokrasia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
{{mergefrom}}
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{mergefrom|Demokrasia ni nini?}}
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.]]
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.]]
'''Demokrasia''' (kutoka neno la [[Kigiriki]] δημοκρατία, ''dēmokratía'', maana yake ''utawala wa watu'': δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake utawala) ni aina ya [[serikali]].
'''Demokrasia''' (kutoka [[neno]] la [[Kigiriki]] δημοκρατία, ''dēmokratía'', maana yake ''utawala wa watu'': δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake "[[utawala]]") ni aina ya [[serikali]].


Neno hilo lilitumika kuanzia [[karne ya 5 KK]] kuelezea mtindo wa utawala uliotumika katika [[Athene]] na [[miji]] mingine kadhaa ya [[Ugiriki]], kinyume cha ἀριστοκρατία, aristokratía, "utawala wa masharifu".
Neno hilo lilitumika kuanzia [[karne ya 5 KK]] kuelezea mtindo wa utawala uliotumika katika [[Athene]] na [[miji]] mingine kadhaa ya [[Ugiriki]], kinyume cha ἀριστοκρατία, aristokratía, "utawala wa masharifu".


Kwenye demokrasia watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao.
Kwenye demokrasia watu fulani wa [[jamii]] wanamchagua kiongozi wao.


Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini [[mchakato]] kamili kwa kawaida huitwa ''kushikilia [[uchaguzi]]''.
Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini [[mchakato]] kamili kwa kawaida huitwa ''kushikilia [[uchaguzi]]''.


Vyama vya siasa huhusika na masuala ya [[siasa]]. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na [[chama cha kisiasa]]. Chama kitakachoshinda uchaguzi kitamchagua kiongozi kinayemtaka.
[[Chama cha kisiasa|Vyama vya siasa]] huhusika na masuala ya [[siasa]]. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda [[uchaguzi]] kitamchagua kiongozi kinayemtaka.


== Demokrasia ni nini? ==
{{mbegu-siasa}}
Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya [[sheria]] na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya [[umma]]. Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga [[kura]] moja kwa moja kwenye masuala kama vile sheria na katika chaguzi. Wakati mwingine huwakilishwa na viongozi wao waliowachagua.


Ni utawala wa watu, na watawala hutawala kwa ridhaa ya watu.


Kwa hiyo kwa kifupi Demokrasia ni mfumo unatoa fursa ya [[madaraka]] kwa umma moja kwa moja au kutokana na [[uwakilishi]].

[[Abraham Lincoln]], [[Rais]] wa 16 wa [[Marekani]], alisema Demokrasia ni serikali ya watu/mfumo wa utawala wa watu, kwa ajili ya watu na unaotokana na watu. Watu wanaunda serikali.

== Aina za Demokrasia ==
# ''Demokrasia ya moja kwa moja'' (kwa [[Kiingereza]] "Direct Democracy") ni aina ya demokrasia ambayo wananchi wote wanaweza kushiriki katika kuamua masuala ya kisiasa, ya kijamii, ya kisheria na ya kiuchumi bila kutumia chombo cha uwakilishi kama vile [[bunge]]. Uwezo huu wa wananchi kutoa maamuzi unaweza kuwapa hata uwezo wa [[Mahakama|kimahakama]], ingawa mara nyingi wananchi hupewa uwezo wa kutunga au kupitisha sheria tu. Demokrasia ya moja kwa moja ni tofauti na demokrasia inayofuatwa katika nchi nyingi [[duniani]] hivi sasa, ambapo wananchi huchagua wawakilishi wao katika [[uchaguzi]].
# ''Demokrasia shirikishi'' ("Representative Democracy"): hapo wachache hupewa na wengi [[dhamana]] katika uwakilishi wa jamii katika maamuzi. Wachache huchaguliwa na wengi kwa njia ya demokrasia huru na ya [[haki]] kwa kufuata [[Katiba]] ya nchi hiyo. Mfano: Wabunge huwakilisha wananchi wao katika kuleta [[maendeleo]] na kuishauri serikali juu ya maendeleo ya nchi yao.

{{mbegu-siasa}}
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Aina za serikali]]
[[Jamii:Aina za serikali]]
__FORCETOC__

Pitio la 13:12, 1 Mei 2017

Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.

Demokrasia (kutoka neno la Kigiriki δημοκρατία, dēmokratía, maana yake utawala wa watu: δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake "utawala") ni aina ya serikali.

Neno hilo lilitumika kuanzia karne ya 5 KK kuelezea mtindo wa utawala uliotumika katika Athene na miji mingine kadhaa ya Ugiriki, kinyume cha ἀριστοκρατία, aristokratía, "utawala wa masharifu".

Kwenye demokrasia watu fulani wa jamii wanamchagua kiongozi wao.

Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kwa kawaida huitwa kushikilia uchaguzi.

Vyama vya siasa huhusika na masuala ya siasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda uchaguzi kitamchagua kiongozi kinayemtaka.

Demokrasia ni nini?

Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya sheria na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya umma. Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga kura moja kwa moja kwenye masuala kama vile sheria na katika chaguzi. Wakati mwingine huwakilishwa na viongozi wao waliowachagua.

Ni utawala wa watu, na watawala hutawala kwa ridhaa ya watu.

Kwa hiyo kwa kifupi Demokrasia ni mfumo unatoa fursa ya madaraka kwa umma moja kwa moja au kutokana na uwakilishi.

Abraham Lincoln, Rais wa 16 wa Marekani, alisema Demokrasia ni serikali ya watu/mfumo wa utawala wa watu, kwa ajili ya watu na unaotokana na watu. Watu wanaunda serikali.

Aina za Demokrasia

  1. Demokrasia ya moja kwa moja (kwa Kiingereza "Direct Democracy") ni aina ya demokrasia ambayo wananchi wote wanaweza kushiriki katika kuamua masuala ya kisiasa, ya kijamii, ya kisheria na ya kiuchumi bila kutumia chombo cha uwakilishi kama vile bunge. Uwezo huu wa wananchi kutoa maamuzi unaweza kuwapa hata uwezo wa kimahakama, ingawa mara nyingi wananchi hupewa uwezo wa kutunga au kupitisha sheria tu. Demokrasia ya moja kwa moja ni tofauti na demokrasia inayofuatwa katika nchi nyingi duniani hivi sasa, ambapo wananchi huchagua wawakilishi wao katika uchaguzi.
  2. Demokrasia shirikishi ("Representative Democracy"): hapo wachache hupewa na wengi dhamana katika uwakilishi wa jamii katika maamuzi. Wachache huchaguliwa na wengi kwa njia ya demokrasia huru na ya haki kwa kufuata Katiba ya nchi hiyo. Mfano: Wabunge huwakilisha wananchi wao katika kuleta maendeleo na kuishauri serikali juu ya maendeleo ya nchi yao.