Theluthi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:FrazioneUnTerzo.png|300px|thumb|Theluthi moja]]
'''Theluthi''' (kutoka neno la [[Kiarabu]]; pia '''thuluthi''') ni [[namba wiano]] inayotaja sehemu ya [[tatu]] ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.
'''Theluthi''' (kutoka neno la [[Kiarabu]] <big>ثلث</big> ''thulth''; pia '''thuluthi''') ni [[namba wiano]] inayotaja sehemu ya [[tatu]] ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.

Inaweza kuandikwa kama '''<math>\tfrac{1}{3}</math>''' au '''1/3'''.
Inaweza kuandikwa kama '''<math>\tfrac{1}{3}</math>''' au '''1/3'''.
Mstari 8: Mstari 9:

Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33,33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33,33 .
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33,33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33,33 .

Pitio la 15:03, 29 Aprili 2017

Theluthi moja

Theluthi (kutoka neno la Kiarabu ثلث thulth; pia thuluthi) ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.

Inaweza kuandikwa kama au 1/3.

Kama desimali inakaribia 0.33333333333.

Inalingana na takriban asilimia 33,33 %.

Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33,33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33,33 .