Masafa ya mawimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Urefu wa wimbi hadi Masafa ya mawimbi
masafa badala ya urefu
Mstari 1: Mstari 1:
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inaonyesha umbali kati ya vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inaonyesha umbali kati ya vilele viwili au masafa ya mawimbi.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.]]
'''Urefu wa wimbi''' (pia '''masafa'''<ref>Kamusi ya TUKI</ref>, mara chache '''lukoka'''<ref>Lukoka ni [[pendekezo]] la [[KAST]], [[1995]] lisilotumika sana</ref>; kwa [[Kiingereza]] ''wavelength'') ni namna ya kupima na kutaja [[ukubwa]] wa [[wimbi]].
'''Masafa ya mawimbi''' (pia '''urefu wa wimbi'''<ref>Kamusi ya TUKI</ref>, mara chache '''lukoka'''<ref>Lukoka ni [[pendekezo]] la [[KAST]], [[1995]] lisilotumika sana</ref>; kwa [[Kiingereza]] ''wavelength'') ni namna ya kupima na kutaja [[ukubwa]] wa [[wimbi]].


Ni [[umbali]] kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya [[kilele]] na kilele au ma[[bonde]] yao.
Ni [[umbali]] kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya [[kilele]] na kilele au ma[[bonde]] yao.
Mstari 10: Mstari 10:
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]


Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi marefu yanayoweza kutambuliwa na [[milango ya fahamu]] ya [[binadamu]] ni [[sauti]] ya [[besi]] yenye lukoka ya [[mita]] 21. [[Sikio]] letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya [[milimita]] 17 hadi mita 21.
Masafa ya mawimbi hutofautiana sana. Mawimbi marefu yanayoweza kutambuliwa na [[milango ya fahamu]] ya [[binadamu]] ni [[sauti]] ya [[besi]] yenye masafa ya [[mita]] 21. [[Sikio]] letu linatambua mawimbi yenye masafa kati ya [[milimita]] 17 hadi mita 21.


Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
*Urefu wa wimbiredio ni kati ya [[milimita]] 1 hadi [[kilomita]] 100.
*Masafa ya wimbiredio ni kati ya [[milimita]] 1 hadi [[kilomita]] 100.
*nuru inayoonekana kwa [[macho]] yetu ina lukoka kati ya [[nanomita]] 380 ([[urujuani]]) hadi 780 ([[nyekundu]]). [[Nyuki]] huona pia [[mnururisho]] mfupi zaidi yaani [[urujuanimno]], lakini hawaoni nyekundu.
*nuru inayoonekana kwa [[macho]] yetu ina masafa kati ya [[nanomita]] 380 ([[urujuani]]) hadi 780 ([[nyekundu]]). [[Nyuki]] huona pia [[mnururisho]] mfupi zaidi yaani [[urujuanimno]], lakini hawaoni nyekundu.
*[[eksirei]] zina lukoka baina ya nanomita 0.01 hadi 10.
*[[eksirei]] zina masafa baina ya nanomita 0.01 hadi 10.
*urefu wa mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].
*masafa ya mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].


==Urefu wa wimbi na marudio==
==Masafa ya mawimbi na marudio==
Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni ya juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume, kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni madogo.
Masafa ya mawimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni ya juu, masafa yake yatakuwa madogo. Vilevile kinyume, kama wimbi lina masafa makubwa, marudio yake ni madogo.


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 14:53, 28 Aprili 2017

Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inaonyesha umbali kati ya vilele viwili au masafa ya mawimbi.
Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.

Masafa ya mawimbi (pia urefu wa wimbi[1], mara chache lukoka[2]; kwa Kiingereza wavelength) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa wimbi.

Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.

Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia, kwa mfano:

Masafa ya mawimbi hutofautiana sana. Mawimbi marefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya besi yenye masafa ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye masafa kati ya milimita 17 hadi mita 21.

Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.

Masafa ya mawimbi na marudio

Masafa ya mawimbi huwa na uhusiano wa kinyume na marudio ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni ya juu, masafa yake yatakuwa madogo. Vilevile kinyume, kama wimbi lina masafa makubwa, marudio yake ni madogo.

Marejeo

  1. Kamusi ya TUKI
  2. Lukoka ni pendekezo la KAST, 1995 lisilotumika sana

Tovuti za Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: