Tofauti kati ya marekesbisho "Sikusare machipuo"

Jump to navigation Jump to search
133 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
'''Sikusare machipuo''' (pia '''ikwinoksi machipuo'''<ref>kutoka Kiingereza-Kilatini "equinox"; [[KAST]] inatumia "sikusare", [[TUKI-ESD]] "ikwinoksi"</ref>, ing. ''[[:en:vernal equinox|vernal equinox]]'') ni moja ya [[sikusare]] mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya [[ikweta]].
 
Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha [[usiku]] mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mchana ni mrefu kuliko usiku. Kuongezeka wa muda wa mchana kunasababisha kupanda kwa halijoto hivyo katika nchi zenye majira baridi mimea huanza kuotea majani mapya.

Urambazaji