Sikusare kaskazi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Sikusare machipuo''' ni moja ya [[sikusare]] mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya [[ikweta]].
'''Sikusare machipuo''' (ing. ''[[:en:vernal equinox|vernal equinox]]'') ni moja ya [[sikusare]] mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya [[ikweta]].

Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha [[usiku]] mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mchana ni mrefu kuliko usiku. Kuongezeka wa muda wa mchana kunasababisha kupanda kwa halijoto hivyo katika nchi zenye majira baridi mimea huanza kuotea majani mapya.

Pitio la 08:36, 24 Aprili 2017

Sikusare machipuo (ing. vernal equinox) ni moja ya sikusare mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya ikweta.

Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha usiku mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mchana ni mrefu kuliko usiku. Kuongezeka wa muda wa mchana kunasababisha kupanda kwa halijoto hivyo katika nchi zenye majira baridi mimea huanza kuotea majani mapya.

Sikusare ya machipuo inakadiriwa kuwa 21 Machi kwenye nusutufe ya kaskazini na 23 Septemba kwenye nusutufe ya kusini.