Waraka wa tatu wa Yohane : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 54 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131462 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
{{Agano Jipya}}
'''Waraka wa tatu wa Yohane''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].

'''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].


Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].


== Mwandishi ==
== Mwandishi ==
Kuhusu [[mwandishi]] wa [[barua]] hiyo lilichelewa kutajwa jina la [[Mtume Yohane]] kutokana na yaliyomo na [[mtindo wa uandishi]] wake.


Kama mwandishi si yeye, ni mmoja wa [[wanafunzi]] wake aliyeandikwa mwishoni mwa [[karne ya 1]] huko [[Efeso]].
Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la [[Mtume Yohane]] kutokana na yaliyomo na mtindo wa uandishi wake.

Kama mwandishi si yeye, ni mmoja wa wanafunzi wake aliyeandikwa mwishoni mwa [[karne ya 1]] huko [[Efeso]].


== Mlengwa ==
== Mlengwa ==
Mlengwa ni ''Gaio'', anayedhaniwa kuwa kiongozi mmojawapo wa [[jumuia]] fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.


== Viungo vya nje ==
Mlengwa ni ''Gaio'', anayedhaniwa kuwa kiongozi mmojawapo wa jumuia fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.
===Tafsiri ya Kiswahili===

* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]
== Kiungo cha nje ==
===Ufafanuzi===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
* [http://www.kretzmannproject.org/EP_MINOR/2JO.htm The Second General Epistle of John from Kretzmann's Popular Commentary of the Bible]

* [http://www.wlsessays.net/node/1759 An Exegesis of 2 John 7–11 by Mark A. Paustian]
{{mbegu-AganoJ}}
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya]]
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya]]
[[Jamii:Mtume Yohane]]

Pitio la 13:12, 22 Aprili 2017

Agano Jipya

Waraka wa tatu wa Yohane ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Mwandishi

Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la Mtume Yohane kutokana na yaliyomo na mtindo wa uandishi wake.

Kama mwandishi si yeye, ni mmoja wa wanafunzi wake aliyeandikwa mwishoni mwa karne ya 1 huko Efeso.

Mlengwa

Mlengwa ni Gaio, anayedhaniwa kuwa kiongozi mmojawapo wa jumuia fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.

Viungo vya nje

Tafsiri ya Kiswahili

Ufafanuzi

Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waraka wa tatu wa Yohane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.