Waraka wa kwanza kwa Timotheo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131180 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
{{Agano Jipya}}
'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].


Pamoja na [[2Tim|ile ya pili]] aliyomuandikia na [[Waraka kwa Tito|ile kwa Tito]] inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].
'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].

Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].


Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].


== Mazingira ==
== Mazingira ==
Barua hii iliandikwa na [[Mtume Paulo]] baada ya kifungo chake cha kwanza mjini [[Roma]] labda akiwa [[Makedonia]] ili kumpa [[mwanafunzi]] wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.


== Viungo vya nje ==
Barua hii iliandikwa na [[Mtume Paulo]] baada ya kifungo chake cha kwanza mjini [[Roma]] labda akiwa [[Makedonia]] ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.
{{wikiquote}}

{{Commons category}}

{{Wikisource|1 Timothy}}
== Kiungo cha nje ==
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
===Vinginevyo===

* [http://www.earlychristianwritings.com/1timothy.html First Timothy texts and resources]
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya]]
{{mbegu-AganoJ}}
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya| ]]
[[Jamii:Mtume Paulo]]

Pitio la 12:39, 22 Aprili 2017

Agano Jipya

Barua ya kwanza kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.

Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Mazingira

Barua hii iliandikwa na Mtume Paulo baada ya kifungo chake cha kwanza mjini Roma labda akiwa Makedonia ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.

Viungo vya nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tafsiri ya Kiswahili

  • [1] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili

Vinginevyo

Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waraka wa kwanza kwa Timotheo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.