Istanbul : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} (8) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Istambul and Bosporus big.jpg|thumb|300px|Istanbul kwa macho ya ndege; juu iko Bahari Nyeusi, chini Bahai ya Marmara; sehemu ya Asia upande wa kulia, Ulaya upande wa kushoto wa Bospurus; "Pembe la dhahabu" ni mkono wa bahari unaoonekana chini upande wa Ulaya]]
[[Picha:Istambul and Bosporus big.jpg|thumb|300px|Istanbul kutoka [[Anga|angani]]; juu iko Bahari Nyeusi, chini Bahari ya Marmara; sehemu ya Asia upande wa kulia, Ulaya upande wa kushoto wa Bosporus; "Pembe la dhahabu" ni mkono wa bahari unaoonekana chini upande wa Ulaya]]
'''Istanbul''' (kwa [[Kituruki]] unatajwa '''İstanbul''') ni mji mkubwa zaidi katika nchi ya [[Uturuki]], ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya dunia. Huu ndiyo mji mkuu wa [[Mkoa wa İstanbul]].
'''Istanbul''' (kwa [[Kituruki]] unatajwa '''İstanbul''') ni [[mji]] mkubwa zaidi katika nchi ya [[Uturuki]], ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya [[milioni]] 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya [[dunia]]. Huu ndio mji mkuu wa [[Mkoa wa İstanbul]].


Eneo la Istanbul linaelekea pande zote mbili za [[mlangobahari]] wa [[Bosporus]] unaotenganisha [[Ulaya]] na [[Asia]]. Hivyo ni mji wa pekee duniani uliopo katika mabara mawili.
Eneo la Istanbul linaelekea pande zote mbili za [[mlangobahari]] wa [[Bosporus]] unaotenganisha [[Ulaya]] na [[Asia]]. Hivyo ni mji pekee duniani uliopo katika [[Bara|mabara]] mawili.


Kiini cha kihistoria kipo upande wa Ulaya kwenye sehemu yenye umbo la rasi baina [[Bahari ya Marmara]] na [[Pembe la Dhahabu]] ambayo ni mkono wa bahari unaoingia ndani ya nchi na hivyo mahali pa mji ulikingwa kwa bahari pande tatu.
Kiini cha [[Historia|kihistoria]] kipo upande wa Ulaya kwenye sehemu yenye [[umbo]] la [[rasi]] baina ya [[Bahari ya Marmara]] na [[Pembe la Dhahabu]] ambayo ni mkono wa bahari unaoingia ndani ya nchi na hivyo mahali pa mji ulikingwa na [[bahari]] pande [[tatu]].


== Historia ==
== Historia ==
Mji huu umebadilisha jina lake mara kadhaa katika historia yake ya zaidi ya miaka 2600. Awali jiji hilo liliundwa mnamo mwaka 660 KK na Wagiriki kwa jina la '''[[Bizanti]]'''. Mnamo mwaka 330 BK [[Kaisari]] [[Konstantino]] aliufanya kuwa mji mkuu wa Dola la Roma akaupanua ukajulikana kama '''[[Konstantinopoli]]''' (yaani mji wa Konstantino).
Mji huu umebadilishiwa [[jina]] mara kadhaa katika historia yake ya zaidi ya miaka 2,600. Awali [[jiji]] hilo liliundwa na [[Wagiriki wa kale|Wagiriki]] mnamo mwaka [[660 KK]] kwa jina la '''[[Bizanti]]'''. Mnamo mwaka [[330]] [[BK]] [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] aliufanya kuwa mji mkuu wa [[Dola la Roma]] akaupanua ukajulikana kama '''[[Konstantinopoli]]''' (yaani mji wa Konstantino).


Konstantinopoli uliendelea kama mji mkuu wa [[Dola la Roma]] na baadaye Roma ya Mashariki uliojulikana pia kama [[Milki ya Bizanti]] hadi 1453 ambako mji ulitwaliwa na Waturuki. Tangu mwaka ule uliendelea kama mji mkuu wa [[Milki ya Osmani]] hadi mwaka [[1923]]. Baadaye serikali ya Uturuki ilihamia [[Ankara]].
Konstantinopoli uliendelea kama mji mkuu wa [[Dola la Roma]] na baadaye [[Roma ya Mashariki]] uliojulikana pia kama [[Milki ya Bizanti]] hadi mwaka [[1453]] ambapo mji ulitwaliwa na [[Waturuki]]. Tangu mwaka ule uliendelea kama mji mkuu wa [[Milki ya Osmani]] hadi mwaka [[1923]]. Baadaye [[serikali]] ya Uturuki ilihamia [[Ankara]].


Wakati wa Waosmani majina mbalimbali yalitumiwa: Konstantinopoli au kwa kifupi "Konstantiniye", halafu tangu karne ya 18 pia "Istanbul". Tangu 1873 jina rasmi kwa Kituruki lilikuwa "Istanbul".
Wakati wa [[Waosmani]] majina mbalimbali yalitumiwa: Konstantinopoli au kwa kifupi "Konstantiniye", halafu tangu [[karne ya 18]] pia "Istanbul". Tangu mwaka [[1873]] [[jina rasmi]] kwa Kituruki limekuwa "Istanbul".


Kuwepo kwa bandari kumepelekea mji huo kuwa kitovu cha biashara katika [[Uturuki]].
Kuwepo kwa [[bandari]] kumepelekea mji huo kuwa [[kitovu]] cha [[biashara]] katika [[Uturuki]].


Katika [[Ukristo]] ni muhimu kama makao ya [[Askofu]] wa pili kwa heshima kati ya Maaskofu wote duniani, kadiri ya orodha iliyotolewa na [[Mtaguso Mkuu|mitaguso mikuu]] ya [[karne ya 4]].
Katika [[Ukristo]] ni muhimu kama makao ya [[Askofu]] wa pili kwa [[heshima]] kati ya Maaskofu wote duniani, kadiri ya orodha iliyotolewa na [[Mtaguso Mkuu|mitaguso mikuu]] ya [[karne ya 4]].


Hadi vita ya kwanza ya dunia Istanbul ilikuwa na wakazi wengi wakristo hasa Wagiriki na Waarmenia. Waarmenia waliteswa wakati ule wakapungua na baada ya vita Wakristo walibaguliwa kwa jumla kwa hiyo wengi walihamia Ugiriki. Leo hii Wagiriki waliobaki ni 2000 - 3000 pekee na Waarmenia ni takriban 50,000.
Hadi [[Vita vya kwanza vya dunia|vita vya kwanza vya dunia]] Istanbul ilikuwa na wakazi wengi Wakristo, hasa [[Wagiriki]] na [[Waarmenia]], lakini wakati ule Waarmenia waliteswa wakapungua na baada ya [[vita]] Wakristo walibaguliwa kwa jumla, hivyo wengi walihamia [[Ugiriki]]. Leo hii Wagiriki waliobaki ni 2000 - 3000 pekee na Waarmenia ni takriban 50,000.


== Majengo ==
== Majengo ==
Istanbul huwa na majengo mengi ya kihistoria kama vile
Istanbul huwa na [[Jengo|majengo]] mengi ya kihistoria kama vile
* [[Hagia Sofia]] ilikuwa kanisa kuu la Konstantinopoli ilijengwa kwa amri ya Kaisari Justiniano na kukamilishwa mwaka 537
* [[Hagia Sofia]] ilikuwa [[kanisa kuu]] la Konstantinopoli; ilijengwa kwa [[amri]] ya [[Kaisari Iustiniano]] na kukamilishwa mwaka [[537]]
* Ukuta wa Theodosio ulioimarishwa kwa amri wa Kaisari huyu na kuwa kinga la mji hadi uvamizi wa Waturuki.
* [[Ukuta wa Theodosio]] ulioimarishwa kwa amri wa [[Kaisari]] huyu na kuwa kinga ya mji hadi [[uvamizi]] wa Waturuki
* Makanisa ya kale, mengine kati yao yamebadilishwa kuwa misikiti
* [[Kanisa|Makanisa]] ya kale, mengine kati yake yamebadilishwa kuwa [[misikiti]]
* Mnara wa Galata uliojengwa na Waitalia katika sehemu yao ng'ambo la Pembe la Dhahabu
* [[Mnara wa Galata]] uliojengwa na [[Waitalia]] katika sehemu yao ng'ambo ya Pembe la Dhahabu
* Misikiti mikubwa ya Milki ya Osmani kama vile [[Msikiti wa Suleymaniye]], [[Msikiti wa Sultan Ahmad]] na majengo mbalimbali ya [[Mimar Sinan]]
* Misikiti mikubwa ya Milki ya Osmani kama vile [[Msikiti wa Suleymaniye]], [[Msikiti wa Sultan Ahmad]] na majengo mbalimbali ya [[Mimar Sinan]]
* [[Topkapi]] iliyokuwa ikulu ya masultani hadi 1923 na leo hii kati ya makumbusho muhimu duniani
* [[Topkapi]] iliyokuwa [[ikulu]] ya masultani hadi mwaka 1923 na leo hii ni kati ya [[makumbusho]] muhimu duniani
* Mnara wa Msichana - Kiz Kulesi: kulingana na hadithi nyingi tofauti, Konstantino, mmoja wa viongozi wa Kibizanti, alikuwa na [[binti]] yake mrembo ambaye alimpenda sana. Watabiri walitabiri kuwa [[kifo]] cha binti huyo kitatokana na kugongwa na [[nyoka]]. Katika kumlinda binti yake na janga hilo, [[mfalme]] akaagiza kujengwe [[nyumba]] katikati ya [[kisiwa]] ambapo ndipo Kiz Kulesi ilipo hivi sasa. Lakini mwisho wa siku yule binti aliuawa na nyoka aliyefika kisiwani katika kikapu cha [[mboga]].
* MNARA WA MSICHANA - KIZ KULESI
Kulingana na hadithi nyingi tofauti kuhusiana na KIZ KULESI, Constantine, Moja ya viongozi wa Byzantine alikuwa na binti yake ambaye inasemekana alikuwa mrembo sana ambaye alimpenda sana. Watabiri walitabiri kuwa kifo cha binti huyo kitatokana na kugonwa na nyoka.
Katika kumlinda binti yake na janga hilo, mfalme akaagiza kujengwe nyumba katikati ya kisiwa ambapo ndipo Kiz Kulesi ilipo hivi sasa. Lakini mwisho wa siku Yule binti aliuawa kwa kugongwa na nyoka aliyekuja kisiwani kupitia katika kikapu cha mboga.


== Elimu ==
== Elimu ==
Mjini Istanbul kuna vyuo vikuu mbalimbali, baadhi yao:
Mjini Istanbul kuna [[vyuo vikuu]] mbalimbali, kati yake:
* [[Chuo Kikuu cha Ufundi cha Yildiz]]
* [[Chuo Kikuu cha Ufundi cha Yildiz]]


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{commonscat|Istanbul}}
* [http://english.istanbul.gov.tr Istanbul Governor's Office]
* [http://english.istanbul.gov.tr Istanbul Governor's Office]
* [http://www.ibb.gov.tr/en-US/AnaSayfa/ Istanbul Metropolitan Municipality]
* [http://www.ibb.gov.tr/en-US/AnaSayfa/ Istanbul Metropolitan Municipality]
Mstari 43: Mstari 42:


{{mbegu-jio-Uturuki}}
{{mbegu-jio-Uturuki}}

{{Miji ya Uturuki}}
{{Miji ya Uturuki}}

{{commonscat|Istanbul}}


[[Jamii:Miji ya Uturuki]]
[[Jamii:Miji ya Uturuki]]
[[Jamii:Uturuki]]
[[Jamii:Uturuki]]
[[Jamii:Bahari Nyeusi]]
[[Jamii:Bahari Nyeusi]]
[[Jamii:Istanbul]]

Pitio la 09:23, 16 Aprili 2017

Istanbul kutoka angani; juu iko Bahari Nyeusi, chini Bahari ya Marmara; sehemu ya Asia upande wa kulia, Ulaya upande wa kushoto wa Bosporus; "Pembe la dhahabu" ni mkono wa bahari unaoonekana chini upande wa Ulaya

Istanbul (kwa Kituruki unatajwa İstanbul) ni mji mkubwa zaidi katika nchi ya Uturuki, ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya dunia. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa İstanbul.

Eneo la Istanbul linaelekea pande zote mbili za mlangobahari wa Bosporus unaotenganisha Ulaya na Asia. Hivyo ni mji pekee duniani uliopo katika mabara mawili.

Kiini cha kihistoria kipo upande wa Ulaya kwenye sehemu yenye umbo la rasi baina ya Bahari ya Marmara na Pembe la Dhahabu ambayo ni mkono wa bahari unaoingia ndani ya nchi na hivyo mahali pa mji ulikingwa na bahari pande tatu.

Historia

Mji huu umebadilishiwa jina mara kadhaa katika historia yake ya zaidi ya miaka 2,600. Awali jiji hilo liliundwa na Wagiriki mnamo mwaka 660 KK kwa jina la Bizanti. Mnamo mwaka 330 BK Kaisari Konstantino Mkuu aliufanya kuwa mji mkuu wa Dola la Roma akaupanua ukajulikana kama Konstantinopoli (yaani mji wa Konstantino).

Konstantinopoli uliendelea kama mji mkuu wa Dola la Roma na baadaye Roma ya Mashariki uliojulikana pia kama Milki ya Bizanti hadi mwaka 1453 ambapo mji ulitwaliwa na Waturuki. Tangu mwaka ule uliendelea kama mji mkuu wa Milki ya Osmani hadi mwaka 1923. Baadaye serikali ya Uturuki ilihamia Ankara.

Wakati wa Waosmani majina mbalimbali yalitumiwa: Konstantinopoli au kwa kifupi "Konstantiniye", halafu tangu karne ya 18 pia "Istanbul". Tangu mwaka 1873 jina rasmi kwa Kituruki limekuwa "Istanbul".

Kuwepo kwa bandari kumepelekea mji huo kuwa kitovu cha biashara katika Uturuki.

Katika Ukristo ni muhimu kama makao ya Askofu wa pili kwa heshima kati ya Maaskofu wote duniani, kadiri ya orodha iliyotolewa na mitaguso mikuu ya karne ya 4.

Hadi vita vya kwanza vya dunia Istanbul ilikuwa na wakazi wengi Wakristo, hasa Wagiriki na Waarmenia, lakini wakati ule Waarmenia waliteswa wakapungua na baada ya vita Wakristo walibaguliwa kwa jumla, hivyo wengi walihamia Ugiriki. Leo hii Wagiriki waliobaki ni 2000 - 3000 pekee na Waarmenia ni takriban 50,000.

Majengo

Istanbul huwa na majengo mengi ya kihistoria kama vile

Elimu

Mjini Istanbul kuna vyuo vikuu mbalimbali, kati yake:

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Istanbul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.