Mtaguso wa tatu wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q338611 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Facade San Giovanni in Laterano 2006-09-07.jpg|thumb|right|250px|[[Basilika]] la [[Yohane Mbatizaji|Mtakatifu Yohane]] huko Laterano ambamo mtaguso ulifanyika.]]
'''Mtaguso wa tatu wa Laterano''' uliitishwa na [[Papa Aleksanda III]] ([[1159]]-[[1181]]) ufanyike huko [[Roma]] mwaka [[1179]], kutokana na [[Amani ya Venezia]] kati ya [[Kaisari]] [[Federiko I wa Ujerumani]] na [[Lega Lombarda]] ya [[Italia]] kaskazini.
'''Mtaguso wa tatu wa Laterano''' uliitishwa na [[Papa Aleksanda III]] ([[1159]]-[[1181]]) ufanyike huko [[Roma]] mwaka [[1179]], kutokana na [[Amani ya Venezia]] kati ya [[Kaisari]] [[Federiko I wa Ujerumani]] na [[Lega Lombarda]] ya [[Italia kaskazini]].


Unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa kumi na moja.
Unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa [[kumi na moja]].


Ulihudhuriwa na viongozi wa [[Kanisa]] 300 na kufanyika katika vikao vitatu, tarehe [[5 Machi]], [[7 Machi]] na [[19 Machi]] [[1179]].
Ulihudhuriwa na viongozi wa [[Kanisa]] 300 na kufanyika katika vikao vitatu, tarehe [[5 Machi]], [[7 Machi]] na [[19 Machi]] [[1179]].


Ulijadili masuala mbalimbali na kuyatungia kanuni 27 na kutangua zile zilizotolewa na [[antipapa Paskali III]]. Kati ya maamuzi muhimu zaidi, mmojawapo ulihusu uchaguzi wa Papa, ukidai thuluthi mbili za kura za makardinali wote, bila ya kutofautisha haki za makundi yao matatu.
Ulijadili masuala mbalimbali na kuyatungia kanuni 27 na kutangua zile zilizotolewa na [[antipapa Paskali III]]. Kati ya maamuzi muhimu zaidi, mmojawapo ulihusu [[uchaguzi]] wa [[Papa]], ukidai [[thuluthi]] mbili za kura za [[Kardinali|makardinali]] wote, bila ya kutofautisha haki za makundi yao matatu.


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
Mstari 11: Mstari 12:


[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Laterano]]
[[Jamii:Roma]]

Pitio la 07:40, 16 Aprili 2017

Basilika la Mtakatifu Yohane huko Laterano ambamo mtaguso ulifanyika.

Mtaguso wa tatu wa Laterano uliitishwa na Papa Aleksanda III (1159-1181) ufanyike huko Roma mwaka 1179, kutokana na Amani ya Venezia kati ya Kaisari Federiko I wa Ujerumani na Lega Lombarda ya Italia kaskazini.

Unahesabiwa na Kanisa Katoliki kama mtaguso mkuu wa kumi na moja.

Ulihudhuriwa na viongozi wa Kanisa 300 na kufanyika katika vikao vitatu, tarehe 5 Machi, 7 Machi na 19 Machi 1179.

Ulijadili masuala mbalimbali na kuyatungia kanuni 27 na kutangua zile zilizotolewa na antipapa Paskali III. Kati ya maamuzi muhimu zaidi, mmojawapo ulihusu uchaguzi wa Papa, ukidai thuluthi mbili za kura za makardinali wote, bila ya kutofautisha haki za makundi yao matatu.

Viungo vya nje