Mzunguko wa Bahari Nyekundu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8: Mstari 8:
Kitabu cha Periplus kinaeleza ma[[bandari]] kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, [[bidhaa]] zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala na [[mila]] zao.
Kitabu cha Periplus kinaeleza ma[[bandari]] kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, [[bidhaa]] zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala na [[mila]] zao.


Maelezo ni mengi kuhusu [[pwani]] ya [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea [[kusini]] majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]].
Maelezo ni mengi kuhusu [[pwani]] ya [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea [[kusini]] majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]], lakini hadi leo wataalamu hawakuelewana hii Rhapta na Azania ilikuwa wapi.


[[Category:Bahari ya Hindi]]
[[Category:Bahari ya Hindi]]

Pitio la 18:55, 12 Aprili 2017

Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus

Periplus ya Bahari ya Eritrea ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mnamo mwaka 70 BK.

"Periplus" ni neno la Kigiriki linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa merikebu; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya Bahari ya Shamu pamoja na Bahari Hindi. Jina hilo lilitungwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya Mediteraneo na Misri waliotumia lugha ya Kigiriki miaka 2000 iliyopita.

Kitabu hicho kimeandikwa na mwenyeji wa Aleksandria / Misri uliokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya Dola la Roma, Afrika ya Mashariki na Bara Hindi.

Kitabu cha Periplus kinaeleza mabandari kuanzia Misri hadi Afrika ya Mashariki kwa upande moja na hadi Bara Hindi kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala na mila zao.

Maelezo ni mengi kuhusu pwani ya Eritrea na Somalia hadi Pembe la Afrika; kuelekea kusini majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa Rhapta katika nchi za Azania, lakini hadi leo wataalamu hawakuelewana hii Rhapta na Azania ilikuwa wapi.