Shahada ya Awali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
Vyeo vinavyofuata ni digrii ya [[uzamili]] (au "umahiri", "masters") na digrii ya [[uzamifu]] ("udaktari").
Vyeo vinavyofuata ni digrii ya [[uzamili]] (au "umahiri", "masters") na digrii ya [[uzamifu]] ("udaktari").


==Tanbihi==
{{marejeo}}
[[jamii:Elimu]]
[[jamii:Elimu]]

Pitio la 12:05, 30 Machi 2017

Shahada ya awali (pia: Digrii ya bachelor [1]) ni shahada ya kwanza inayotolewa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa chuo.

Katika nchi zinazofuata mfumo wa Uingereza ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa Marekani ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha elimu ya sekondari.

Nchi nyingine hazina digrii hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi sita tangu mwanzo.

Vyeo vinavyofuata ni digrii ya uzamili (au "umahiri", "masters") na digrii ya uzamifu ("udaktari").

Tanbihi

  1. Neno "bachelor" kwa lugha ya Kiingereza kimsingi linataja mtu asiyeoa bado lakini mwenye umri wa kutosha.