Kicheche : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Nyongeza jamii
Masahihisho na picha mpya
Mstari 6: Mstari 6:
| maelezo_ya_picha = Kicheche-nyoka (''Poecilogale albinucha'')
| maelezo_ya_picha = Kicheche-nyoka (''Poecilogale albinucha'')
| domeni =
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mamalia|Mammalia]] <small>(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| ngeli = [[Mammalia]] <small>(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| oda = [[Carnivora]] <small>(Wanyama mbua)</small>
| oda = [[Carnivora]] <small>(Wanyama mbua)</small>
| nusuoda = [[Caniformia]] <small>(Wanyama kama [[mbwa]])</small>
| nusuoda = [[Caniformia]] <small>(Wanyama kama [[mbwa]])</small>
Mstari 17: Mstari 17:
''[[Poecilogale]]'' <small>[[Oldfield Thomas|Thomas]], 1883</small>
''[[Poecilogale]]'' <small>[[Oldfield Thomas|Thomas]], 1883</small>
''[[Vormela]]'' <small>[[Johann Heinrich Blasius|Blasius]], 1884</small>
''[[Vormela]]'' <small>[[Johann Heinrich Blasius|Blasius]], 1884</small>
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
'''Vicheche''' au '''cheche''' ni wanyama wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Mustelidae]]. Wanyama hawa ni miongoni mwa wale wanaotoa vundo mbaya kabisa. Wataalamu wengine wanadai kwamba [[kicheche wa kawaida]] ananuka vibaya kuliko wanyama wote. Vundo hii inatoka matezi karibu na mkundu kama mnyama akitishwa, na kwa kawaida adui atoroka. Spishi zote zina pua, kidari, tumbo na miguu nyeusi. Zile za [[Afrika]] zina milia myeupe na myeusi mgongoni, zile za [[Amerika]] zina mgongo kijivu na ile ya [[Ulaya]] ina mgongo njano wenye madoa meusi. Vicheche hula [[mnyama|wanyama]], [[ndege (mnyama)|ndege]] na [[mjusi|mijusi]] wadogo, [[mdudu|wadudu]], [[samaki]], [[amfibia]], [[nyoka]] na hata [[tunda|matunda]] na [[nyasi|manyasi]].
'''Vicheche''' au '''cheche''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Mustelidae]]. Wanyama hawa ni miongoni mwa wale wanaotoa vundo mbaya kabisa. Wataalamu wengine wanadai kwamba [[kicheche wa kawaida]] ananuka vibaya kuliko wanyama wote. Vundo hii inatoka [[tezi|matezi]] karibu na [[mkundu]] kama mnyama akitishwa, na kwa kawaida adui atoroka. [[Spishi]] zote zina pua, kidari, tumbo na miguu nyeusi. Zile za [[Afrika]] zina milia myeupe na myeusi mgongoni, zile za [[Amerika]] zina mgongo kijivu na ile ya [[Ulaya]] ina mgongo njano wenye madoa meusi. Vicheche hula wanyama wadogo, [[ndege (mnyama)|ndege]] na [[mjusi|mijusi]], [[mdudu|wadudu]], [[samaki]], [[amfibia]], [[nyoka]] na hata [[tunda|matunda]] na [[nyasi|manyasi]].


==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==
Mstari 32: Mstari 31:


==Picha==
==Picha==
<gallery>
Ictonyx libyca multivittata.jpg|Kicheche-jangwa
Ictonyx striatus - Museo Civico di Storia Naturale Giacomo Doria - Genoa, Italy - DSC02633.JPG|Kicheche wa kawaida
</gallery>
<gallery>
<gallery>
Picha:Galictis.jpg|Kicheche mdogo wa Amerika
Picha:Galictis.jpg|Kicheche mdogo wa Amerika

Pitio la 17:52, 28 Machi 2017

Kicheche
Kicheche-nyoka (Poecilogale albinucha)
Kicheche-nyoka (Poecilogale albinucha)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Nusufamilia: Mustelinae (Wanyama wanaofanana na chororo)
Jenasi: Galictis Bell, 1826

Ictonyx Kaup, 1835
Poecilogale Thomas, 1883 Vormela Blasius, 1884

Vicheche au cheche ni wanyama wa jenasi mbalimbali katika familia Mustelidae. Wanyama hawa ni miongoni mwa wale wanaotoa vundo mbaya kabisa. Wataalamu wengine wanadai kwamba kicheche wa kawaida ananuka vibaya kuliko wanyama wote. Vundo hii inatoka matezi karibu na mkundu kama mnyama akitishwa, na kwa kawaida adui atoroka. Spishi zote zina pua, kidari, tumbo na miguu nyeusi. Zile za Afrika zina milia myeupe na myeusi mgongoni, zile za Amerika zina mgongo kijivu na ile ya Ulaya ina mgongo njano wenye madoa meusi. Vicheche hula wanyama wadogo, ndege na mijusi, wadudu, samaki, amfibia, nyoka na hata matunda na manyasi.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha