Wilaya ya Njombe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Njombe location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Njombe (kijani) katika [[mkoa wa Iringa]] kabla ya umegaji.]]
[[Picha:Tanzania Njombe location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Njombe (kijani) katika [[mkoa wa Iringa]] kabla ya umegaji.]]
'''Wilaya ya Njombe''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Njombe]] ulioanzishwa mnamo Machi [[2012]] kwa kumega [[mkoa wa Iringa]] upande wa kusini.
'''Wilaya ya Njombe''' ilikuwa wilaya moja ya [[Mkoa wa Iringa]] hadi kumegwa kwa mkoa huu mwaka 2012 na kuanzishwa kwa [[mkoa wa Njombe]] upande wa kusini.

Maeneo ya wilaya ya Njombe ya awali yaligawiwa kwa wilaya tatu:
*[[Mji wa Njombe]]
*[[Wilaya ya Njombe Vijijini]]
*[[Wilaya ya Wanging'ombe]]

Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [http://web.archive.org/web/20031228054848/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/njombe.htm].
Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [http://web.archive.org/web/20031228054848/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/njombe.htm].

[[Makao makuu]] ya wilaya na ya mkoa yapo [[Njombe Mjini]].
[[Makao makuu]] ya wilaya na ya mkoa yalikuwepo [[Njombe Mjini]].

Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa [[Wabena]].
Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa [[Wabena]].
Mstari 11: Mstari 16:

{{mbegu-jio-njombe}}
{{mbegu-jio-njombe}}
[[Jamii: Wilaya za kihistoria za Tanzania|N]]

[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Njombe]]
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Njombe]]
[[Jamii:Wilaya ya Njombe| ]]
[[Jamii:Wilaya ya Njombe| ]]

Pitio la 11:15, 19 Machi 2017

Mahali pa Njombe (kijani) katika mkoa wa Iringa kabla ya umegaji.

Wilaya ya Njombe ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Iringa hadi kumegwa kwa mkoa huu mwaka 2012 na kuanzishwa kwa mkoa wa Njombe upande wa kusini.

Maeneo ya wilaya ya Njombe ya awali yaligawiwa kwa wilaya tatu:

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [1].

Makao makuu ya wilaya na ya mkoa yalikuwepo Njombe Mjini.

Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.

Kata za Wilaya ya Njombe Vijijini - Mkoa wa Njombe - Tanzania

Idamba | Igongolo | Ikondo | Ikuna | Kichiwa | Kidegembye | Lupembe | Matembwe | Mfriga | Mtwango | Ninga | Ukalawa

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.