Mkonge : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22: Mstari 22:
* ''[[Sansevieria volkensii|S. volkensii]]'' <small>[[Robert Louis August Maximilian Gürke|Gürke]]</small>
* ''[[Sansevieria volkensii|S. volkensii]]'' <small>[[Robert Louis August Maximilian Gürke|Gürke]]</small>
}}
}}
'''Mikonge''' ni [[mmea|mimea]] ya [[jenasi]] ''[[Sansevieria]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Asparagaceae]]. [[Jani|Majani]] yao huitwa [[konge|makonge]]. Jina hili limesilikiwa kwa ''[[Agave sisalana]]'' ([[Mkonge Dume|mkonge dume]]) na [[spishi]] nyingine za jenasi ''[[Agave]]'' ([[mkonge-pori]]). Mkonge dume ni kiasili mmea wa [[Meksiko]] lakini imesambazwa nchi nyingi za kitropoki kutokana na umuhimu wake wa kiuchumi, hasa [[katani]]. Kuna mashamba makubwa kwenye kanda la pwani la [[Afrika ya Mashariki]].
'''Mikonge''' ni [[mmea|mimea]] ya [[jenasi]] ''[[Sansevieria]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Asparagaceae]]. [[Jani|Majani]] yao huitwa [[konge|makonge]]. Jina hili limesilikiwa kwa ''[[Agave sisalana]]'' ([[Mkonge Dume|mkonge dume]]) na [[spishi]] nyingine za jenasi ''[[Agave]]'' ([[mkonge-pori]]).
==Asili na uenezi==
Mkonge dume ni kiasili mmea wa [[Meksiko]] lakini imesambazwa nchi nyingi za [[kitropiki]] kutokana na umuhimu wake wa [[uchumi|kiuchumi]], hasa [[zao]] la [[katani]]. Kuna [[shamba|mashamba]] makubwa kwenye kanda la pwani la [[Afrika ya Mashariki]]. Kwa miaka mingi [[Tanzania]] iliongoza [[duniani]] katika zao hilo.


==Spishi za Afrika ya Mashariki==
==Spishi za Afrika ya Mashariki==

Pitio la 11:57, 18 Machi 2017

Mkonge
Mkonge wa Fischer (Sansevieria fischeri)
Mkonge wa Fischer (Sansevieria fischeri)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
Oda: Asparagales (Mimea kama mwinikanguu)
Familia: Asparagaceae (Mimea iliyo mnasaba na mwinikanguu)
Jenasi: Sansevieria (Mikonge)
Thunb.
Ngazi za chini

Spishi nyingi; katika Afrika ya Mashariki:

Mikonge ni mimea ya jenasi Sansevieria katika familia Asparagaceae. Majani yao huitwa makonge. Jina hili limesilikiwa kwa Agave sisalana (mkonge dume) na spishi nyingine za jenasi Agave (mkonge-pori).

Asili na uenezi

Mkonge dume ni kiasili mmea wa Meksiko lakini imesambazwa nchi nyingi za kitropiki kutokana na umuhimu wake wa kiuchumi, hasa zao la katani. Kuna mashamba makubwa kwenye kanda la pwani la Afrika ya Mashariki. Kwa miaka mingi Tanzania iliongoza duniani katika zao hilo.

Spishi za Afrika ya Mashariki

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkonge kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.