Pi (namba) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[Picha:Pi eq C over d.svg|alt=A diagram of a circle, with the width labeled as diameter, and the perimeter labeled as circumference|thumb|right|350px|Uwiano wa [[urefu]] wa [[mzingo]] na ule wa [[kipenyo]] ni 3 na kitu. Uwiano kamili unaitwa π, pi.]]
[[Picha:Pi eq C over d.svg|alt=A diagram of a circle, with the width labeled as diameter, and the perimeter labeled as circumference|thumb|right|350px|Uwiano wa [[urefu]] wa [[mzingo]] na ule wa [[kipenyo]] ni 3 na kitu. Uwiano kamili unaitwa π, pi.]]


'''Pi''' ([[jina]] la [[herufi]] ya [[Kigiriki]] '''[[π]]''') ni [[namba]] ya [[duara]] kwa maana ya [[uwiano]] wa [[urefu]] wa [[mzingo (jiometria)]] na ule wa [[kipenyo]].
'''Pi''' ([[jina]] la [[herufi]] ya [[Kigiriki]] '''[[π]]''') ni [[namba]] ya [[duara]] kwa maana ya [[uwiano]] wa [[urefu]] wa [[mzingo (jiometria)|mzingo]] na ule wa [[kipenyo]].


Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].
Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].

Pitio la 11:25, 15 Machi 2017

Duara yenye kipenyo cha 1 ina mzingo mwenye urefu wa π
A diagram of a circle, with the width labeled as diameter, and the perimeter labeled as circumference
Uwiano wa urefu wa mzingo na ule wa kipenyo ni 3 na kitu. Uwiano kamili unaitwa π, pi.

Pi (jina la herufi ya Kigiriki π) ni namba ya duara kwa maana ya uwiano wa urefu wa mzingo na ule wa kipenyo.

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, Pi pia inatumika kama kifupisho kwa ajili ya maarifa na dhana za hesabu na fisikia.

Imejulikana hasa kama namba ya duara ina thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....

Chamkano cha 22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.

Wanahisabati duniani husheherekea sikukuu ya Pi tarehe 14 Machi au pia 22 Julai.

Tanbihi

Marejeo

  • Blatner, David (1999). The Joy of Pi. Walker & Company. ISBN 978-0-8027-7562-7. 
  • Borwein, Jonathan and Borwein, Peter, "The Arithmetic-Geometric Mean and Fast Computation of Elementary Functions", SIAM Review, 26(1984) 351–365
  • Borwein, Jonathan, Borwein, Peter, and Bailey, David H., Ramanujan, Modular Equations, and Approximations to Pi or How to Compute One Billion Digits of Pi", The American Mathematical Monthly, 96(1989) 201–219
  • Chudnovsky, David V. and Chudnovsky, Gregory V., "Approximations and Complex Multiplication According to Ramanujan", in Ramanujan Revisited (G.E. Andrews et al. Eds), Academic Press, 1988, pp 375–396, 468–472
  • Cox, David A., "The Arithmetic-Geometric Mean of Gauss", L' Ensignement Mathematique, 30(1984) 275–330
  • Delahaye, Jean-Paul, "Le Fascinant Nombre Pi", Paris: Bibliothèque Pour la Science (1997) ISBN 2-902918-25-9
  • Engels, Hermann, "Quadrature of the Circle in Ancient Egypt", Historia Mathematica 4(1977) 137–140
  • Euler, Leonhard, "On the Use of the Discovered Fractions to Sum Infinite Series", in Introduction to Analysis of the Infinite. Book I, translated from the Latin by J. D. Blanton, Springer-Verlag, 1964, pp 137–153
  • Heath, T. L., The Works of Archimedes, Cambridge, 1897; reprinted in The Works of Archimedes with The Method of Archimedes, Dover, 1953, pp 91–98
  • Huygens, Christiaan, "De Circuli Magnitudine Inventa", Christiani Hugenii Opera Varia I, Leiden 1724, pp 384–388
  • Lay-Yong, Lam and Tian-Se, Ang, "Circle Measurements in Ancient China", Historia Mathematica 13(1986) 325–340
  • Lindemann, Ferdinand, "Ueber die Zahl pi", Mathematische Annalen 20(1882) 213–225
  • Matar, K. Mukunda, and Rajagonal, C., "On the Hindu Quadrature of the Circle" (Appendix by K. Balagangadharan). Journal of the Bombay Branch of the Royal Asiatic Society 20(1944) 77–82
  • Niven, Ivan, "A Simple Proof that pi Is Irrational", Bulletin of the American Mathematical Society, 53:7 (July 1947), 507
  • Ramanujan, Srinivasa, "Modular Equations and Approximations to π", Quarterly Journal of Pure and Applied Mathematics, XLV, 1914, 350–372. Reprinted in G.H. Hardy, P.V. Seshu Aiyar, and B. M. Wilson (eds), Srinivasa Ramanujan: Collected Papers, 1927 (reprinted 2000), pp 23–29
  • Shanks, William, Contributions to Mathematics Kigezo:Sic Chiefly of the Rectification of the Circle to 607 Places of Decimals, 1853, pp. i–xvi, 10
  • Shanks, Daniel and Wrench, John William, "Calculation of pi to 100,000 Decimals", Mathematics of Computation 16(1962) 76–99
  • Tropfke, Johannes, Geschichte Der Elementar-Mathematik in Systematischer Darstellung (The history of elementary mathematics), BiblioBazaar, 2009 (reprint), ISBN 978-1-113-08573-3
  • Viete, Francois, Variorum de Rebus Mathematicis Reponsorum Liber VII. F. Viete, Opera Mathematica (reprint), Georg Olms Verlag, 1970, pp 398–401, 436–446
  • Wagon, Stan, "Is Pi Normal?", The Mathematical Intelligencer, 7:3(1985) 65–67
  • Wallis, John, Arithmetica Infinitorum, sive Nova Methodus Inquirendi in Curvilineorum Quadratum, aliaque difficiliora Matheseos Problemata, Oxford 1655–6. Reprinted in vol. 1 (pp 357–478) of Opera Mathematica, Oxford 1693
  • Zebrowski, Ernest, A History of the Circle: Mathematical Reasoning and the Physical Universe, Rutgers Univ Press, 1999, ISBN 978-0-8135-2898-4

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pi (namba) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.