Kalenga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
+ mkwawa
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kalenga ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref>

Hapa Kalenga kuna makumbusho kwa heshima ya Mtemi [[Mkwawa]] aliyeongoza upinzani wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya 1891 - 1896. Fuvu la Mkwawa lililowahi kupelekwa Ujerumani inasemekana kuhifadhiwa hapa.

==Marejeo==
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{marejeo}}

Pitio la 10:40, 13 Machi 2017

Kalenga ni jina la kata ya Wilaya ya Iringa Vijijini katika Mkoa wa Iringa, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.[1]

Hapa Kalenga kuna makumbusho kwa heshima ya Mtemi Mkwawa aliyeongoza upinzani wa Wahehe dhidi ya ukoloni wa Kijerumani katika miaka ya 1891 - 1896. Fuvu la Mkwawa lililowahi kupelekwa Ujerumani inasemekana kuhifadhiwa hapa.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania

Idodi | Ifunda | Ilolompya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihanga | Kihorogota | Kising'a | Kiwere | Luhota | Lumuli | Lyamgungwe | Maboga | Magulilwa | Mahuninga | Malengamakali | Masaka | Mboliboli | Mgama | Migoli | Mlenge | Mlowa | Mseke | Nyang'oro | Nzihi | Ulanda | Wasa

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kalenga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.