Adamu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:God2-Sistine Chapel.png|300px|thumb|right|[[Uumbaji]] wa Adamu ulivyochorwa ([[1511]]) na [[Michelangelo]] Buonarroti katika [[Cappella Sistina]], huko [[Vatikano]]. Ni mmojawapo kati ya michoro maarufu zaidi duniani.]]

[[Image:Formella 01, la creazione di Adamo, andrea pisano 1134-1136.JPG|thumb|left|250px|''Uuumbaji wa Adamu'' kadiri ya [[Andrea Pisano]], [[1334]]-[[1336]]]]
[[Image:Formella 01, la creazione di Adamo, andrea pisano 1134-1136.JPG|thumb|right|250px|''Uuumbaji wa Adamu'' kadiri ya [[Andrea Pisano]], [[1334]]-[[1336]]]]
'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni [[jina]] analopewa [[mtu]] wa kwanza katika [[Biblia]]. Anatajwa na [[Kurani]] pia.

'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni jina analopewa mtu wa kwanza katika [[Biblia]]. Anatajwa na [[Kurani]] pia.

Kadiri ya [[kitabu]] cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]], alizaliana na [[mke]] wake [[Eva]] watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa [[binadamu]]; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe [[Kaini]], [[Abeli]] na [[Seti]].

Mstari 18: Mstari 17:
Humo Adamu anatajwa kwa namna inayofanana na ile ya Biblia. Anahesabiwa kuwa [[mtume]] wa kwanza.
Humo Adamu anatajwa kwa namna inayofanana na ile ya Biblia. Anahesabiwa kuwa [[mtume]] wa kwanza.

==Tazama pia==
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]

[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]

Pitio la 13:41, 11 Machi 2017

Uumbaji wa Adamu ulivyochorwa (1511) na Michelangelo Buonarroti katika Cappella Sistina, huko Vatikano. Ni mmojawapo kati ya michoro maarufu zaidi duniani.
Uuumbaji wa Adamu kadiri ya Andrea Pisano, 1334-1336

Adamu (kwa Kiebrania: אָדָם maana yake mtu, mtu wa udongo, chaudongo, au wa udongo mwekundu) ni jina analopewa mtu wa kwanza katika Biblia. Anatajwa na Kurani pia.

Kadiri ya kitabu cha Mwanzo, alizaliana na mke wake Eva watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa binadamu; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe Kaini, Abeli na Seti.

Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu kila tarehe 24 Desemba.

Katika Biblia

Heinrich Aldegrever, Adamu na simba, wakiishi kwa amani kabla ya Dhambi ya Asili
Eva akiumbwa kwa ubavu wa Adamu alivyochongwa na (Lorenzo Maitani na shule yake, upande wa mbele wa Kanisa kuu la Orvieto).

Uumbaji wa watu wa kwanza unasimuliwa na kitabu cha Mwanzo mara mbili: katika 1,26-28 na katika 2,7-22.

Masimulizi hayo yanayotofautiana katika vipengele mbalimbali hayadai yachukuliwe kama habari za historia zinazoandikwa siku hizi. Yanatokana na tafakuri ya kina juu ya hali ya binadamu kwa lengo la kuelewa asili yake.

Katika Kurani

Humo Adamu anatajwa kwa namna inayofanana na ile ya Biblia. Anahesabiwa kuwa mtume wa kwanza.

Tazama pia