Tofauti kati ya marekesbisho "Mlango wa Bering"

Jump to navigation Jump to search
40 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
Kufuatana na [[nadharia]] za [[wataalamu]] wa [[historia]] hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha [[maji]] [[duniani]] kilipatikana kwa umbo la [[barafu]] na hivyo kiasi cha maji [[kiowevu]] kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hiyo [[usawa wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa [[miguu]]. Hivyo watu waliingia kwa mara ya kwanza barani Amerika.
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-jio}}
 
[[Category:Milango ya Bahari]]

Urambazaji