Mlangobahari wa Bering : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
tahajia, nyongeza ndogo
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
Maeneo kando la mlango Bering pande zote mbili yana watu wachache kwa sababu ya mazingira baridi.
Maeneo kando la mlango Bering pande zote mbili yana watu wachache kwa sababu ya mazingira baridi.


Kufuatana na nadharia za wataalamu wa historia hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha maji duniani kilipatikana kwa umbo la barafu na hivyo kiasi cha maji kiowevu kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hii [[uwiano wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa miguu.
Kufuatana na nadharia za wataalamu wa historia hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha maji duniani kilipatikana kwa umbo la [[barafu]] na hivyo kiasi cha maji [[kiowevu]] kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hii [[usawa wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa miguu.


[[Category:Milango ya Bahari]]
[[Category:Milango ya Bahari]]

Pitio la 16:30, 19 Februari 2017

Mlango wa Bering unavyoonekana kutoka angani
Ramani ya mlango wa Bering

Mlango wa Bering (Kirusi: Берингов пролив; Kiing.:Bering Strait) ni mlango wa bahari na mahali pa kukaribiana kati ya Alaska upande wa Amerika ya Kaskazini na Siberia upande wa Asia.

Mlango wa Bering una upana wa takriban kilomita 92 na kina cha mita 30 hadi 50 pekee. Unaunganisha bahari ya Aktiki na Pasifiki.

Jina limetokana na Vitus Bering aliyekuwa Mdenmark katika utumishi wa Urusi aliyevuka mlango huu mwaka 1728.

Maeneo kando la mlango Bering pande zote mbili yana watu wachache kwa sababu ya mazingira baridi.

Kufuatana na nadharia za wataalamu wa historia hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda Amerika. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa Enzi ya Barafu miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha maji duniani kilipatikana kwa umbo la barafu na hivyo kiasi cha maji kiowevu kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hii usawa wa bahari ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo[1] na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa miguu.

  1. [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017