Tofauti kati ya marekesbisho "Mlango wa Bering"

Jump to navigation Jump to search
501 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
tahajia, nyongeza ndogo
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11769 (translate me))
(tahajia, nyongeza ndogo)
'''Mlango wa Bering''' ([[Kirusi]]: Берингов пролив; [[Kiing.]]:Bering Strait) ni [[mlango wa bahari]] na mahali pa kukaribiana kati ya [[Alaska]] upande wa [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Siberia]] upande wa [[Asia]].
 
Mlango wa Bering una upana wa takriban [[kilomita]] 92 km na kina cha [[mita]] 30 hadi 50 m pekee. Unaunganisha [[bahari ya Aktiki]] na [[Pasifiki]].
 
Jina limetokana na [[Vitus Bering]] aliyekuwa Mdenmark katika urumishi wa Kaisariutumishi wa Urusi aliyevuka mlnagomlango huu mwaka [[1728]].
 
Maeneo kando la mlango Bering pande zote mbili yana watu wachache kwa sababu ya mazingira baridi.
 
Kufuatana na nadharia za wataalamu wa historia hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha maji duniani kilipatikana kwa umbo la barafu na hivyo kiasi cha maji kiowevu kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hii [[uwiano wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa kavumkavu ukapitika kwa miguu.
 
[[Category:Milango ya Bahari]]

Urambazaji