Henry VIII wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'image:Workshop of Hans Holbein the Younger - Portrait of Henry VIII - Google Art Project.jpg|thumb|200px|Mfalme Henri VIII alivyochorwa na [[Hans Holbein the...'
 
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Henry VIII''' ([[28 Juni]] [[1491]] – [[28 Januari]] [[1547]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Uingereza]] kuanzia tarehe [[21 Aprili]] [[1509]] hadi [[kifo]] chake. Ni wa pili kutoka [[nasaba ya Tudor]], akimfuata [[baba]] yake, [[Henry VII]].
'''Henry VIII''' ([[28 Juni]] [[1491]] – [[28 Januari]] [[1547]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Uingereza]] kuanzia tarehe [[21 Aprili]] [[1509]] hadi [[kifo]] chake. Ni wa pili kutoka [[nasaba ya Tudor]], akimfuata [[baba]] yake, [[Henry VII]].


==Maisha na matukio==
Henry anajulikana hasa kwa [[Ndoa|kuoa]] [[wanawake]] [[sita]], mmoja baada ya mwingine, na hasa kwa juhudi zake za kubatilisha ndoa yake ya kwanza na [[Catherine wa Aragon]] zilizomfanya hatimaye atenganishe [[Anglikana|Kanisa la Uingereza]] na [[Papa]], akijifanya mkuu wa Kanisa. Pamoja na kutengwa na [[Kanisa Katoliki]] kwa sababu hiyo, aliendelea kusadiki mafundisho yake.<ref name="Scarisbrick361">{{harvnb|Scarisbrick|1997|p=361}}</ref>
Henry anajulikana hasa kwa [[Ndoa|kuoa]] [[wanawake]] [[sita]], mmoja baada ya mwingine, na hasa kwa juhudi zake za kubatilisha ndoa yake ya kwanza na [[Katerina wa Aragona]] zilizomfanya hatimaye atenganishe [[Anglikana|Kanisa la Uingereza]] na [[Papa]], akijifanya mkuu wa Kanisa. Pamoja na kutengwa na [[Kanisa Katoliki]] kwa sababu hiyo, aliendelea kusadiki mafundisho yake.<ref name="Scarisbrick361">{{harvnb|Scarisbrick|1997|p=361}}</ref>


Katika masuala ya ndani, Henry alijulikana kwa kubadilisha sana [[katiba]] ya nchi, akizidisha [[mamlaka]] yake mwenyewe. Waliopinga walishutumiwa kama wasaliti na mara nyingi kuhukumiwa [[adhabu ya kifo]], akiwemo [[waziri mkuu]] [[Thomas More]].
Katika masuala ya ndani, Henry alijulikana kwa kubadilisha sana [[katiba]] ya nchi, akizidisha [[mamlaka]] yake mwenyewe. Waliopinga walishutumiwa kama wasaliti na mara nyingi kuhukumiwa [[adhabu ya kifo]], akiwemo [[waziri mkuu]] [[Thomas More]].
Mstari 10: Mstari 11:
Aliunganisha Uingereza na [[Wales]] akawa pia mfalme wa kwanza wa Uingereza kushika nafasi ya mfalme wa [[Ireland]].
Aliunganisha Uingereza na [[Wales]] akawa pia mfalme wa kwanza wa Uingereza kushika nafasi ya mfalme wa [[Ireland]].


Mwanzoni wengi walipendezwa naye<ref>{{harvnb|Guy|2000|p=41}}.</ref>, lakini baadaye alizidi kunenepa, [[afya]] yake ilitetereka, na hata nafsi yake ilivurugika na kumfanya mzinzi, mkatili, mwoga.<ref>{{harvnb|Ives|2006|pp=28–36}}</ref> He was succeeded by his son [[Edward VI]].
Mwanzoni wengi walipendezwa naye<ref>{{harvnb|Guy|2000|p=41}}.</ref>, lakini baadaye alizidi kunenepa, [[afya]] yake ilitetereka, na hata nafsi yake ilivurugika na kumfanya mzinzi, mkatili, mwoga.<ref>{{harvnb|Ives|2006|pp=28–36}}</ref>


Baada yake alitawala [[Mwana|mwanae]] [[Edward VI]].


== Tanbihi ==
== Tanbihi ==
{{Reflist|20em}}
{{Reflist|20em}}


=== Marejeo ===
==Marejeo==
{{refbegin|30em}}
{{refbegin|30em}}
*{{cite book |last=Arnold |first=Thomas |year= 2001 |title=The Renaissance at War |publisher=Cassell & Co. |location= London |isbn= 0-304-35270-5 |url= |ref=harv}}
*{{cite book |last=Arnold |first=Thomas |year= 2001 |title=The Renaissance at War |publisher=Cassell & Co. |location= London |isbn= 0-304-35270-5 |url= |ref=harv}}

Pitio la 14:18, 13 Februari 2017

Mfalme Henri VIII alivyochorwa na Hans Holbein the Younger, Walker Art Gallery, Liverpool, Uingereza.

Henry VIII (28 Juni 1491 – 28 Januari 1547) alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia tarehe 21 Aprili 1509 hadi kifo chake. Ni wa pili kutoka nasaba ya Tudor, akimfuata baba yake, Henry VII.

Maisha na matukio

Henry anajulikana hasa kwa kuoa wanawake sita, mmoja baada ya mwingine, na hasa kwa juhudi zake za kubatilisha ndoa yake ya kwanza na Katerina wa Aragona zilizomfanya hatimaye atenganishe Kanisa la Uingereza na Papa, akijifanya mkuu wa Kanisa. Pamoja na kutengwa na Kanisa Katoliki kwa sababu hiyo, aliendelea kusadiki mafundisho yake.[1]

Katika masuala ya ndani, Henry alijulikana kwa kubadilisha sana katiba ya nchi, akizidisha mamlaka yake mwenyewe. Waliopinga walishutumiwa kama wasaliti na mara nyingi kuhukumiwa adhabu ya kifo, akiwemo waziri mkuu Thomas More.

Matumizi yake yalikuwa makubwa mno, kwa ajili ya fahari na vita, hivi kwamba pesa nyingi alizofaulu kujipatia kwa kuteka mali ya monasteri na kuzuia kodi iliyokuwa inalipwa awali kwa Papa, hazikumtosha kamwe.

Aliunganisha Uingereza na Wales akawa pia mfalme wa kwanza wa Uingereza kushika nafasi ya mfalme wa Ireland.

Mwanzoni wengi walipendezwa naye[2], lakini baadaye alizidi kunenepa, afya yake ilitetereka, na hata nafsi yake ilivurugika na kumfanya mzinzi, mkatili, mwoga.[3]

Baada yake alitawala mwanae Edward VI.

Tanbihi

  1. Scarisbrick 1997, p. 361
  2. Guy 2000, p. 41.
  3. Ives 2006, pp. 28–36

Marejeo

Marejeo mengine

Maisha

  • Bowle, John (1964). Henry VIII: a Study of Power in Action. Little, Brown and Company. 
  • Erickson, Carolly (1984). Mistress Anne: the Exceptional Life of Anne Boleyn. 
  • Cressy, David (1982). "Spectacle and Power: Apollo and Solomon at the Court of Henry VIII". History Today 32 (Oct): 16–22. ISSN 0018-2753. 
  • Gardner, James (1903). "Henry VIII". Cambridge Modern History 2. 
  • Graves, Michael (2003). Henry VIII'. 
  • Ives, E. W (2004). "Henry VIII (1491–1547)". The Oxford Dictionary of National Biography. Oxford University Press. 
  • Rex, Richard (1993). Henry VIII and the English Reformation. 
  • Ridley, Jasper (1985). Henry VIII. 
  • Starkey, David (2002). The Reign of Henry VIII: Personalities and Politics. Random House. ISBN 978-0-09-944510-4. 
  • Starkey, David; Doran, Susan (2009). Henry VIII: Man and Monarch. British Library Publishing Division. ISBN 978-0-7123-5025-9. 
  • Tytler, Patrick Fraser (1837). "Life of King Henry the Eighth". Edinburgh: Oliver & Boyd. Iliwekwa mnamo 17 August 2008.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • Weir, Alison (1996). The Children of Henry VIII. 

Utafiti wa kitaalamu

  • Bernard, G. W. (1986). War, Taxation, and Rebellion in Early Tudor England: Henry VIII, Wolsey, and the Amicable Grant of 1525. 
  • Bernard, G. W. (1998). "The Making of Religious Policy, 1533–1546: Henry VIII and the Search for the Middle Way". Historical Journal 41 (2): 321–349. ISSN 0018-246X. JSTOR 2640109. doi:10.1017/S0018246X98007778. 
  • Bush, M. L. (2007). "The Tudor Polity and the Pilgrimage of Grace". Historical Research 80 (207): 47–72. ISSN 0950-3471. doi:10.1111/j.1468-2281.2006.00351.x. 
  • Coleman, Christoper; Starkey, David, wahariri (1986). Revolution Reassessed: Revision in the History of Tudor Government and Administration. 
  • Doran, Susan (2009). The Tudor Chronicles: 1485 - 1603. Sterling Publishing. ku. 78–203. ISBN 978-1-4351-0939-1. 
  • Fox, Alistair; Guy, John, wahariri (1986). Reassessing the Henrician Age: Humanism, Politics and Reform 1500–1550. 
  • Guy, John. The Children of Henry VIII (Oxford University Press; 2013) 258 pages; traces the lives of Edward VI, Mary I, Elizabeth I, and Henry Fitzroy, Duke of Richmond.
  • Head, David M. (1982). "Henry VIII's Scottish Policy: a Reassessment". Scottish Historical Review 61 (1): 1–24. ISSN 0036-9241. 
  • Head, David M. (1997). "'If a Lion Knew His Own Strength': the Image of Henry VIII and His Historians". International Social Science Review 72 (3–4): 94–109. ISSN 0278-2308. 
  • Hoak, Dale (2005). "Politics, Religion and the English Reformation, 1533–1547: Some Problems and Issues". History Compass (3). ISSN 1478-0542. 
  • Lindsey, Karen (1995). Divorced, Beheaded, Survived: A Feminist Reinterpretation of the Wives of Henry VIII. Reading, MA., US: Addison-Wesley Publishing Co. ISBN 0-201-60895-2. 
  • MacCulloch, Diarmaid, mhariri (1995). The Reign of Henry VIII: Politics, Policy, and Piety. 
  • Marshall, Peter (2009). (Re)defining the English Reformation. Journal of British Studies 48 (3). ku. 564–85. 
  • Mackie, J. D. (1952). The Earlier Tudors, 1485–1558. 
  • Maloney, William J. (2015). Diseases, Disorders and Diagnoses of Historical Individuals. Anaphora Literary Press. ISBN 978-1-68114-193-0. 
  • Moorhouse, Geoffrey (2003). The Pilgrimage of Grace: the Rebellion That Shook Henry VIII's Throne. Phoenix. ISBN 978-1-84212-666-0. 
  • Moorhouse, Geoffrey (2007). Great Harry's Navy: How Henry VIII Gave England Seapower. 
  • Moorhouse, Geoffrey (2009). The Last Divine Office: Henry VIII and the Dissolution of the Monasteries. 
  • Slavin, Arthur J, mhariri (1968). Henry VIII and the English Reformation. 
  • Smith, H. Maynard (1948). Henry VIII and the Reformation. 
  • Thurley, Simon (1991). "Palaces for a Nouveau Riche King". History Today 41 (6). 
  • Trollope, William (1874). A practical and historical commentary on the liturgy and ritual of the Church of England: with examination questions. J. Hall. 
  • Wagner, John A. (2003). Bosworth Field to Bloody Mary: An Encyclopedia of the Early Tudors. ISBN 1-57356-540-7. 
  • Walker, Greg (2005). Writing under Tyranny: English Literature and the Henrician Reformation. 
  • Wernham, Richard Bruce. Before the Armada: the growth of English foreign policy, 1485-1588 (1966), a standard history of foreign policy

Vyanzo

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry VIII wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.