Risasi (metali) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d robot Adding: af:Lood, simple:Lead
Mstari 45: Mstari 45:
[[Category:Metali]]
[[Category:Metali]]


[[af:Lood]]
[[ar:رصاص]]
[[ar:رصاص]]
[[az:Qurğuşun]]
[[az:Qurğuşun]]
[[bn:সীসা]]
[[be:Свінец]]
[[be:Свінец]]
[[bs:Olovo (hemija)]]
[[bg:Олово]]
[[bg:Олово]]
[[bn:সীসা]]
[[bs:Olovo (hemija)]]
[[ca:Plom]]
[[ca:Plom]]
[[cs:Olovo]]
[[co:Piombu]]
[[co:Piombu]]
[[cs:Olovo]]
[[cy:Plwm]]
[[cy:Plwm]]
[[da:Bly]]
[[da:Bly]]
[[de:Blei]]
[[de:Blei]]
[[et:Plii]]
[[el:Μόλυβδος]]
[[el:Μόλυβδος]]
[[en:Lead]]
[[en:Lead]]
[[es:Plomo]]
[[eo:Plumbo]]
[[eo:Plumbo]]
[[es:Plomo]]
[[et:Plii]]
[[eu:Berun]]
[[eu:Berun]]
[[fa:سرب]]
[[fa:سرب]]
[[fi:Lyijy]]
[[fr:Plomb]]
[[fr:Plomb]]
[[fur:Plomp]]
[[fur:Plomp]]
[[ga:Luaidhe]]
[[ga:Luaidhe]]
[[gl:Chumbo (elemento)]]
[[gl:Chumbo (elemento)]]
[[ko:]]
[[he:עופרת]]
[[hy:Կապար]]
[[hr:Olovo (element)]]
[[hr:Olovo (element)]]
[[io:Plombo]]
[[ht:Plon]]
[[hu:Ólom]]
[[hy:Կապար]]
[[id:Timbal]]
[[id:Timbal]]
[[io:Plombo]]
[[is:Blý]]
[[is:Blý]]
[[it:Piombo]]
[[it:Piombo]]
[[he:עופרת]]
[[ja:]]
[[jbo:cnisa]]
[[ka:ტყვია]]
[[ka:ტყვია]]
[[ht:Plon]]
[[ko:]]
[[ksh:Blëij]]
[[ku:Sirb]]
[[ku:Sirb]]
[[la:Plumbum]]
[[la:Plumbum]]
[[lv:Svins]]
[[lb:Bläi]]
[[lb:Bläi]]
[[lt:Švinas]]
[[lt:Švinas]]
[[jbo:cnisa]]
[[lv:Svins]]
[[hu:Ólom]]
[[mi:Matā (konganuku)]]
[[mi:Matā (konganuku)]]
[[mn:Хартугалга]]
[[mr:शिसे]]
[[mr:शिसे]]
[[mn:Хартугалга]]
[[nah:Temētztli]]
[[nah:Temētztli]]
[[nds:Blie]]
[[nl:Lood (element)]]
[[nl:Lood (element)]]
[[ja:]]
[[no:Bly]]
[[nn:Bly]]
[[nn:Bly]]
[[no:Bly]]
[[oc:Plomb]]
[[oc:Plomb]]
[[nds:Blie]]
[[pl:Ołów]]
[[pl:Ołów]]
[[pt:Chumbo]]
[[pt:Chumbo]]
[[ksh:Blëij]]
[[qu:Titi]]
[[ro:Plumb]]
[[ro:Plumb]]
[[qu:Titi]]
[[ru:Свинец]]
[[ru:Свинец]]
[[sco:Leid (element)]]
[[sco:Leid (element)]]
[[sh:Olovo]]
[[simple:Lead]]
[[sk:Olovo]]
[[sk:Olovo]]
[[sl:Svinec]]
[[sl:Svinec]]
[[sr:Олово]]
[[sr:Олово]]
[[sh:Olovo]]
[[fi:Lyijy]]
[[sv:Bly]]
[[sv:Bly]]
[[te:సీసము]]
[[te:సీసము]]
[[th:ตะกั่ว]]
[[vi:Chì]]
[[tg:Сурб]]
[[tg:Сурб]]
[[th:ตะกั่ว]]
[[tr:Kurşun]]
[[tr:Kurşun]]
[[uk:Свинець]]
[[uk:Свинець]]
[[ur:رصاص]]
[[ur:رصاص]]
[[vi:Chì]]
[[yi:בליי]]
[[yi:בליי]]
[[zh-yue:鉛]]
[[zh:铅]]
[[zh:铅]]
[[zh-yue:鉛]]

Pitio la 17:08, 18 Desemba 2007

kwa risasi kama ramia ya bunduki au bastola tazama risasi (silaha)


Risasi au Plumbi (plumbum; kiing. lead)
Vipande vinene vya risasi huleta kinga dhidi ya Caesi nururifu chini yake.
Vipande vinene vya risasi huleta kinga dhidi ya Caesi nururifu chini yake.
Jina la Elementi Risasi au Plumbi (plumbum; kiing. lead)
Alama Pb
Namba atomia 82
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 207.2
Valensi 2, 8, 18, 32, 18, 4
Densiti 11.34 g/cm³
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 600.61 K (327.46 °C)
Kiwango cha kuchemka 2022 K (1749 °C)
Asilimia za ganda la dunia 2 · 10-3 %
Hali maada mango
Mengineyo Risasi ni elementi nzito isiyo nururifu

Risasi (jina la kisayansi: plumbi) ni elementi. Namba atomia yake ni 82 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 118.710. Jina ni neno la kilatini stannum kwa metali hii.

Tabia

Ni metali nzito na laini yenye rangi ya buluu-kijivu. Huyeyuka mapema kwenye kiwango cha halijoto cha 327 °C. Ni babaikaji kirahisi na kwa sababu hii ilikuwa kati ya metali za kwanza zilizotumiwa na binadamu katika historia. Ikiingia katika mwili wa binadamu ni sumu. Haimenyuki kirahisi.

Kama metali nzito ina pia densiti kubwa.

Matumizi

Sehemu kubwa ya risasi hutumiwa kwa ajili ya beteri za magari. Mengine hutumiwa kwa ajili ya aloi mbalimbali.

Ujenzi

Risasi huyeyushwa haraka na hivyo kuna mbinu ya kuitumia kwa kazi ya kushika mabati ya kufunika nyumba. Matumizi mengine ni katika vyoo vya madirisha ambako vipande vya kioo cha rangi huunganishwa kuwa dirisha inayoonyesha picha jinsi. Hapa vipande vya kioo hushikwa kwa risasi.

Zamani risasi ilitumiwa pia kwa mabomba ya maji lakini hii imeachwa kutokana na tatizo la metali hii kuwa sumu. Kazi ya fundibomba kwa Kiingereza hadi leo huitwa "plumber" kutokana na "plumb" ambayo ni jina la Kilatini la risasi.

Risasi katika silaha

Kihistoria risasi ilikuwa muhimu tangu kupatikana kwa silaha kama ramia au kiasi cha bunduki na bastola. Ramia zilitengenezwa kwa muda mrefu kwa kutumia metali ya risasi pekee. Leo hii risasi peke yake ni laini mno kwa teknoljia mpya ya silaha hizi zrnye kanieneo (shindikizo) kubwa. Bado risasi hutumiwa kwa sababu ya uzito wake lakini siku hizi hufunikwa na koti ya aloi ya shaba inayozuia kubadilishwa kwa umbo lake wakati wa kurushwa katika silaha.

Risasi kama kinga ya mnururisho

Densiti kubwa ya risasi ni kinga nzuri dhidi ya mnururisho. Hivyo kuna mavazi ya kinga yanayovaliwa na waganaga wanaotumia eksirei mara kwa mara. Hata wagonjwa wanaochunguliwa hupewa mifuniko yenye risasi kwa kinga ya ogani za uzzazi dhidi ya mnururisho wa eksirei.