27 Aprili : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
== Waliozaliwa == |
== Waliozaliwa == |
||
* [[1822]] - [[Ulysses S. Grant]], [[Rais]] wa [[Marekani]] ([[1869]]-[[1877]]) |
* [[1822]] - [[Ulysses S. Grant]], [[Rais]] wa [[Marekani]] ([[1869]]-[[1877]]) |
||
* [[1945]] - [[August Wilson]], mwandishi kutoka [[Marekani]] |
|||
* [[1951]] - [[Mario Das Neves]], [[mwanasiasa]] wa [[Argentina]] |
* [[1951]] - [[Mario Das Neves]], [[mwanasiasa]] wa [[Argentina]] |
||
* [[1959]] - [[Andrew Fire]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[2006]] |
* [[1959]] - [[Andrew Fire]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[2006]] |
Pitio la 21:32, 26 Januari 2017
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Aprili ni siku ya 117 ya mwaka (ya 118 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 248.
Matukio
- 1960 - Nchi ya Togo inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 1961 - Nchi ya Sierra Leone inapata uhuru kutoka Uingereza
Waliozaliwa
- 1822 - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 1945 - August Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 1951 - Mario Das Neves, mwanasiasa wa Argentina
- 1959 - Andrew Fire, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2006
- 1962 - Edvard Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
Waliofariki
- 1272 - Mtakatifu Zita wa Lucca, bikira kutoka Italia
- 1521 - Ferdinand Magellan, mpelelezi kutoka Ureno
- 1605 - Papa Leo XI
- 1927 - Albert Jeremiah Beveridge, mwanasiasa na mwandishi kutoka Marekani
- 1972 - Kwame Nkrumah, Rais wa kwanza wa Ghana
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Simeoni I, askofu, na ya mtakatifu Zita wa Lucca, bikira
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |