Mdudu mabawa-manyoya : Tofauti kati ya masahihisho
d
no edit summary
(Sahihisho) |
dNo edit summary |
||
** †Vitimotaulioidea
}}
'''Wadudu mabawa-manyoya''' ni [[wadudu]] wadogo hadi wakubwa kiasi wa [[oda]] [[Trichoptera]] (
[[Lava]] wa [[spishi]] nyingi huishi majini lakini wale wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Limnephilidae]] huishi kwenye ardhi. Wanatoa [[hariri]] ili kuitengenezea utando au kipeto. Wanaotengeneza utando huishi katika maji yanayotiririka. Utando ni kimbilio na inafaa kutega chakula ([[mnyama|wanyama]] wadogo, [[algae|viani]], masalio). Kipeto cha lava wengine ([[mdudu-kipeto|wadudu-kipeto]]) kinatumikia kwa kukinga kiwiliwili chororo dhidi ya adui na kinashirikisha vitu vigumu kama chembe za mchanga, vijiti, koa n.k. Lava anaweza kutoa kichwa na kidari (toraksi) na kutembea akivuta kipeto. Kuna lava ambao huishi majini bila utando au kipeto. Hawa hutumia hariri tu ili kutengeneza kifukofuko cha [[bundo]].
|