Bastola : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Browning 9mm Pistol MOD 45151558.jpg|thumb|Bastola]]
[[Picha:Browning 9mm Pistol MOD 45151558.jpg|thumb|Bastola]]
[[Picha:Enfield-No2.jpg|thumb||Bastola aina za revolver]]
[[Picha:Enfield-No2.jpg|thumb||Bastola aina za revolver]]
'''Bastola''' ni [[silaha ya moto]] yenye [[kasiba]] fupi inayoshikwa kwa [[mkono]] mmoja tu. [[Teknolojia]] yake ni karibu sawa na ya [[bunduki]] isipokuwa ni ndogo.

'''Bastola''' ni [[silaha ya moto]] ndogo yenye [[kasiba]] fupi inayoshikwa kwa mkono mmoja tu. Teknolijia yake ni karibu sawa na bunduki isipokuwa ni ndogo.


== Aina za bastola ==
== Aina za bastola ==
Kiasili bastola ilikuwa tu umbo dogo la [[gobori]]. Baada ya kila pigo ilihitaji kujazwa upya.
Kiasili bastola ilikuwa tu [[umbo]] dogo la [[gobori]]. Baada ya kila pigo ilihitaji kujazwa upya.


Kwa muda bastola zenye kasiba mbili au zaidi zilitengenezwa kwa kusudi la kuongeza kasi ya kufyatulia risasi.
Kwa muda bastola zenye kasiba [[mbili]] au zaidi zilitengenezwa kwa kusudi la kuongeza [[kasi]] ya kufyatulia [[risasi]].


Baada ya kupatikana kwa ramia za metali katika karne ya 19 bastola ilipewa chemba ya risasi inayozunguka. Modeli mashuhuri ya mwanzoni ilikuwa aina ya Colt. Kwa kiingereza aina hii huitwa "revolver" kutokana na mzunguko wa chemba. Chemba huwa na ramia 5-8 mara nyingi ni sita.
Baada ya kupatikana kwa ramia za [[metali]] katika [[karne ya 19]] bastola ilipewa chemba ya risasi inayozunguka. Modeli mashuhuri ya mwanzoni ilikuwa aina ya Colt. Kwa [[Kiingereza]] aina hii huitwa "revolver" kutokana na mzunguko wa chemba. Chemba huwa na ramia 5-8, mara nyingi ni [[sita]].


Aina ya pili kati ya bastola ina chemba ya risasi kama kidawati kidogo inayosukumwa ndani ya nafasi yake kwenye bastola. Wanajeshi waliona faida ya kwamba ni rahisi kujaza chemba ya ziada na kuibeba kama akiba inayobadilishwa haraka kuliko kujaza upya chemba inayozunguka kwa sababu chemba ya kuzunguka haitolewi ni lazima kuijaza ramia moja-moja.
Aina ya pili kati ya bastola ina chemba ya risasi kama kidawati kidogo inayosukumwa ndani ya nafasi yake kwenye bastola. [[Wanajeshi]] waliona faida ya kwamba ni rahisi kujaza chemba ya ziada na kuibeba kama akiba inayobadilishwa haraka kuliko kujaza upya chemba inayozunguka kwa sababu chemba ya kuzunguka haitolewi, ni lazima kuijaza ramia [[moja]]-moja.
== Matumizi ya bastola na bunduki ==
== Matumizi ya bastola na bunduki ==
Faida yake kulingana na bunduki yenyewe ni nyepesi na ndogo hivyo haisumbui wakati wa kubeba. Hasara yake katika ulinganisho na bunduki ni hasa mfiko mdogo, nguvu ya risasi zake na umakinifu wa kulenga.
Faida yake kulingana na bunduki yenyewe ni kuwa nyepesi na ndogo, hivyo haisumbui wakati wa kubeba. Hasara yake katika ulinganisho na bunduki ni hasa mfiko mdogo, nguvu ya risasi zake na umakinifu wa kulenga.


Jeshini bastola hutumiwa kama silaha ya pili pamoja na bunduki. Kwa polisi huwa ni silaha kali ya kawaida. Majambazi mara nyingi hupendelea bastola kwa sababu zinafichwa rahisi hazionekani.
Jeshini bastola hutumiwa kama silaha ya pili pamoja na bunduki. Kwa [[polisi]] huwa ni silaha kali ya kawaida. [[jambazi|Majambazi]] mara nyingi hupendelea bastola kwa sababu zinafichwa rahisi hazionekani.


[[Jamii:Silaha]]
[[Jamii:Silaha]]

Toleo la sasa la 14:17, 24 Januari 2017

Bastola
Bastola aina za revolver

Bastola ni silaha ya moto yenye kasiba fupi inayoshikwa kwa mkono mmoja tu. Teknolojia yake ni karibu sawa na ya bunduki isipokuwa ni ndogo.

Aina za bastola[hariri | hariri chanzo]

Kiasili bastola ilikuwa tu umbo dogo la gobori. Baada ya kila pigo ilihitaji kujazwa upya.

Kwa muda bastola zenye kasiba mbili au zaidi zilitengenezwa kwa kusudi la kuongeza kasi ya kufyatulia risasi.

Baada ya kupatikana kwa ramia za metali katika karne ya 19 bastola ilipewa chemba ya risasi inayozunguka. Modeli mashuhuri ya mwanzoni ilikuwa aina ya Colt. Kwa Kiingereza aina hii huitwa "revolver" kutokana na mzunguko wa chemba. Chemba huwa na ramia 5-8, mara nyingi ni sita.

Aina ya pili kati ya bastola ina chemba ya risasi kama kidawati kidogo inayosukumwa ndani ya nafasi yake kwenye bastola. Wanajeshi waliona faida ya kwamba ni rahisi kujaza chemba ya ziada na kuibeba kama akiba inayobadilishwa haraka kuliko kujaza upya chemba inayozunguka kwa sababu chemba ya kuzunguka haitolewi, ni lazima kuijaza ramia moja-moja.

Matumizi ya bastola na bunduki[hariri | hariri chanzo]

Faida yake kulingana na bunduki yenyewe ni kuwa nyepesi na ndogo, hivyo haisumbui wakati wa kubeba. Hasara yake katika ulinganisho na bunduki ni hasa mfiko mdogo, nguvu ya risasi zake na umakinifu wa kulenga.

Jeshini bastola hutumiwa kama silaha ya pili pamoja na bunduki. Kwa polisi huwa ni silaha kali ya kawaida. Majambazi mara nyingi hupendelea bastola kwa sababu zinafichwa rahisi hazionekani.