Maisha : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
MAISHA |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Maisha''' ni [[muda]] ambao [[kiumbe hai]] anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na [[uzima]] wa [[milele]]. |
|||
Maisha nimoja wapo kati ya msuala kuhusu thamani,madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwapo duniani. suala hilo linaweza kujitokeza katika maswali mengi tofauti yanayo husiana,kamavile mbona tumekuwepo?,maisha yana husu nini? |
|||
nanini maana ya hayo yote. binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na kifo,mfano msiba wa ndugu au rafiki. |
|||
[[Maana ya maisha]] ni mojawapo kati ya masuala makuu ya [[binadamu]] [[duniani]]: hawezi kukwepa maswali ya kutoka [[Moyo|moyoni]] mwake kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa maisha yake. |
|||
⚫ | |||
Suala hilo linaweza kujitokeza kwake katika maswali mengi tofauti yanayohusiana, kama vile: "mbona tumekuwepo?"; "maisha yanahusu nini?" na "nini maana ya hayo yote? Binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na [[kifo]], kwa mfano msiba wa [[ndugu]] au [[rafiki]]. |
|||
⚫ | |||
{{mbegu}} |
|||
[[Jamii:Falsafa]] |
|||
[[Jamii:Dini]] |
Pitio la 07:18, 23 Januari 2017
Maisha ni muda ambao kiumbe hai anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na uzima wa milele.
Maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala makuu ya binadamu duniani: hawezi kukwepa maswali ya kutoka moyoni mwake kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa maisha yake.
Suala hilo linaweza kujitokeza kwake katika maswali mengi tofauti yanayohusiana, kama vile: "mbona tumekuwepo?"; "maisha yanahusu nini?" na "nini maana ya hayo yote? Binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na kifo, kwa mfano msiba wa ndugu au rafiki.
Hilo limekuwa suala kuu la udadisi wa sayansi, falsafa na dini tangu zamani. Hivyo kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kutoka asili mbalimbali kadiri ya itikadi na utamaduni.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |