Mamlaka : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mamlaka (kutoka katika neno la kilatini ''auctoritas'') linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu ambayo imetolewa na nchi au vyombo vi...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Mamlaka (kutoka katika neno la kilatini ''[[auctoritas]]'') linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu ambayo imetolewa na nchi au vyombo vingine vya serikali kama [[mahakama]],[[bunge]] na vyombo vya dola.
'''Mamlaka''' (kutoka [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]] "authority" kutoka [[neno]] la [[Kilatini]] ''auctoritas'') linaweza kutumika kumaanisha [[haki ya kisheria]] ya kutumia [[nguvu]] ambayo imetolewa na nchi au vyombo vingine vya [[serikali]] kama [[mahakama]],[[bunge]] na [[vyombo vya dola]].

Neno mamlaka linapotumika katika mashirika au [[taasisi]], huwa linamaanisha chombo kinachitawala ambayo kimepewa nguvu, mfano (Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Morogoro).Pia neno mamlaka linaweza kumaanisha [[haki]] ya kufanya kitu fulani.
Neno mamlaka linapotumika katika mashirika au [[taasisi]], huwa linamaanisha chombo kinachotawala ambacho kimepewa nguvu, kwa mfano: ''Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Morogoro''.

Pia neno mamlaka linaweza kumaanisha [[haki]] ya kufanya kitu fulani.

{{mbegu-sheria}}

[[Jamii:Sheria]]

Pitio la 14:37, 20 Januari 2017

Mamlaka (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza "authority" kutoka neno la Kilatini auctoritas) linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu ambayo imetolewa na nchi au vyombo vingine vya serikali kama mahakama,bunge na vyombo vya dola.

Neno mamlaka linapotumika katika mashirika au taasisi, huwa linamaanisha chombo kinachotawala ambacho kimepewa nguvu, kwa mfano: Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Morogoro.

Pia neno mamlaka linaweza kumaanisha haki ya kufanya kitu fulani.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamlaka kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.