Mashahidi wa Yehova : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Charles Taze Russell]] pamoja na kikundi cha wanafunzi wa [[Biblia]] ([[miaka ya 1870]]). Jina la sasa lilianza kutumika [[mwaka]] [[1931]].
[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Charles Taze Russell]] pamoja na kikundi cha wanafunzi wa [[Biblia]] ([[miaka ya 1870]]). Jina la sasa lilianza kutumika [[mwaka]] [[1931]].


Kwa sasa wako [[milioni]] 8.2 katika [[jumuia]] 118,016 (kadiri ya ''Kitabu cha Mwaka 2016 cha Mashahidi wa Yehova''<ref>2016 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>). Ongezeko ni la [[asilimia]] 1.5 kwa mwaka.<ref>2016 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>
Kwa sasa wako [[milioni]] 8.3 katika [[jumuia]] 119,485 (kadiri ya ''Kitabu cha Mwaka 2017 cha Mashahidi wa Yehova''<ref>2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>). Ongezeko ni la [[asilimia]] 1.8 kwa mwaka.<ref>2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>


== Hoja dhidi yao ==
== Hoja dhidi yao ==

Pitio la 09:44, 20 Januari 2017

Makao makuu ya kimataifa huko Brooklyn, New York, Marekani.


Mashahidi wa Yehova (kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses) ni wafuasi wa dini jamii ya Ukristo ambayo ilianzia Marekani na kuenea ulimwenguni kote.

Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini Yesu kuwa Mungu sawa na Baba, wala Roho Mtakatifu kuwa nafsi, na kwa jumla hawakubali imani katika Utatu wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo madhehebu mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali ubatizo wao.

Mwanzilishi alikuwa Charles Taze Russell pamoja na kikundi cha wanafunzi wa Biblia (miaka ya 1870). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka 1931.

Kwa sasa wako milioni 8.3 katika jumuia 119,485 (kadiri ya Kitabu cha Mwaka 2017 cha Mashahidi wa Yehova[1]). Ongezeko ni la asilimia 1.8 kwa mwaka.[2]

Hoja dhidi yao

Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, katazo la utoaji damu, mara kadhaa za utabiri wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.

Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Tanzania wakati wa urais wa Julius Nyerere au bado ni marufuku.

Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.

Tanbihi

  1. 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.
  2. 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tovuti rasmi

Tovuti nyingine

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.