Athens : Tofauti kati ya masahihisho
d →Historia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|mk}} using AWB (10903) |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] juu ya kilima iliyokuwa [[boma]] na [[mtaa]] wa ma[[hekalu]] ya Athens ya Kale. Huko [[Mtume Paulo]] alitoa [[hotuba]] maarufu ([[Mdo]] 17).]] |
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] juu ya kilima iliyokuwa [[boma]] na [[mtaa]] wa ma[[hekalu]] ya Athens ya Kale. Huko [[Mtume Paulo]] alitoa [[hotuba]] maarufu ([[Mdo]] 17).]] |
||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
==Jina== |
==Jina== |
||
Mstari 28: | Mstari 27: | ||
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]] |
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]] |
||
[[Jamii:Miji ya Ugiriki]] |
[[Jamii:Miji ya Ugiriki]] |
||
[[Jamii:Miji ya |
[[Jamii:Miji ya Olimpiki]] |
||
[[Jamii:Athens| ]] |
[[Jamii:Athens| ]] |
||
[[Jamii:Miji ya Dola la Roma]] |
[[Jamii:Miji ya Dola la Roma]] |
Pitio la 14:51, 18 Januari 2017
Athens (kwa Kigiriki Αθήνα "Athina") ni mji mkuu wa Ugiriki (Uyunani), mji mkubwa wa nchi hii, na mojawapo kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye historia ndefu tangu miaka elfuelfu.
Siku hizi mji una wakazi milioni 3.
Jina
Jina limetokana na mungu wa kike "Athena" aliyeabudiwa kama mungu wa elimu na wa vita zamani za Ugiriki wa Kale.
Historia
Katika karne kabla ya Kristo Athens ulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi Italia na Uturuki ya leo.
Athens ilikuwa maarufu kwa wataalamu wake hasa wanafalsafa kama Sokrates, Plato na Aristoteles.
Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.
Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa Dola la Roma na baada ya 1453 chini ya Dola la Uturuki. Hapo mji ukawa bila umuhimu wowote, tena ukakonda.
Wakati wa uhuru wa Ugiriki mwaka 1834 Athens ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.
Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.
Michezo ya kwanza ya Olimpiki ya kisasa ilifanyika Athens mwaka 1896. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka 2004.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Athens kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |